Habari njema kwa wagonjwa wa Sickle Cell, Dawa ya kutibu imeidhinishwa Marekani

Habari njema kwa wagonjwa wa Sickle Cell, Dawa ya kutibu imeidhinishwa Marekani

Hapo mtu mweusi anakenua meno na kuchekacheka tu anachojua ni kuzaliana tu.


"Black man is and will remain to be human in transition"
 
"Gene - editing"
Haya ni mapinduzi makubwa sana.
Mbali sana.

Miaka ijayo hata magonjwa ya kurithi yanayotokana na genetics disorder yataisha. Una edit gene, unaondoa gene yenye tatizo mtu anakua poa, ugonjwa unakua umeishia hapo, hauwezi kurithishwa tena.
 
Kuna dada angu anateseka sana na mtoto wake, magonjwa mengine yasikie tu kwa jirani!
 
Back
Top Bottom