Habari njema kwa wapenzi wa Nokia

Habari njema kwa wapenzi wa Nokia

Mimi siku hizi sioni jipya kwenye simu naona kamaubunifu hakuna zaidi ya micamera camera hakuna major changes. Shapes za simu nazo zinafanana si atokee mmoja afanye major changes kama walivyofanya iphone ikabadiri mwelekeo wa simu kabisa
Wote wamekaa wanasubiri Samsung na apple wanafanya nini nao waige.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ngoja tusubiri huenda labda mabadirio yakatoka kwenye kampuni nyingine.... Jana nimetazama untoldstory of the iPhone. Kumbe mwanzo kabisa Steve Jobs hakuwa ameridhia kuundwa kwa simu na kuna kipindi management mara mbili ilitakaproject ipigwe chini
 
Mbona hizo version wamezi name ovyo..

Hazina mvuto na zinachanganya wateja..

Msafwa,
Uporoto, Mbeya..
 
Kama tulivoona ujio mpya wa Nokia na Android. Mnamo mwaka 2017 walianza na Android 7 Nougat ambapo walianza na Nokia 1. Nokia 2 , Nokia 3, Nokia 5, Nokia 6 Nokia 8 nk

Kisha zikatoka upgrade yake kidogo nikimaanisha

Kisha mwaka 2018 zilitoka kama Nokia 2.1, 3.1,5.1 , 6.1 ,7.1 , 8.1

Baadae mwaka huo huo wakaja na 5.1 plus 8.1 plus nk.

Kisha mwaka 2019 tukashuhudia series zingne kama kama Nokia 2.2, 4.2, 3.2, 6.2 7.2 Nokia 4.2

Kisha December mwaka jana tukaona muendelezo wa Nokia 2 ambayo ni Nokia 2.3 ambayo ni special kwa mwaka huu

Muendelezo wa Nokia 5, 6 and 8 ukachelewa sababu walichelewa hata hivo kutoa simu za mwaka jana

Sasa tarehe 19 mach Nokia 1.3 ,5.3 na Nokia 8.3 zikawa announced

Where Nokia 8.3 itakuja na display ya 6.81inch

Android 10 already

Snapdragon 765 ( 7nm )

Ram option kati ya 6 au 8

Rom 64 kwa 128GB

Quad camera
Utra wide 64mp
Wide. 12mp
Macro. 2mp
Depth. 2mp
Zeiss camera

Kwenye battery kama tulivoona nokia 2 na 2.1 na 3.2 kuja na battery kubwa kabisa kuliko zote la 4000mah basi kwenye 8.3 litakuepo la 4500mah lithium polymer

Nokia 8.3View attachment 1394537View attachment 1394538View attachment 1394541

Nokia 1.3View attachment 1394542

Nokia 7.2View attachment 1394543View attachment 1394537

Nokia 5.3View attachment 1394542View attachment 1394538View attachment 1394542
Hawa bado hawajaniimpress. Nokia 9 ilikuja kwa mbwembwe sana lkn ni takataka.

Baada ya kuona huawei kaingia contract na leica na wao wakaona waingie contract za zeiss.
 
Sasa hivi tupo kwenye ulimwengu wa Indisplay fingerprint. Hiyo fingerprint huko nyuma sijui inatafuta nini. Bora hata ingekuwa side mounted.
 
Hawa bado hawajaniimpress. Nokia 9 ilikuja kwa mbwembwe sana lkn ni takataka.

Baada ya kuona huawei kaingia contract na leica na wao wakaona waingie contract za zeiss.
Nokia ana contract na zeiss hata kabla Android haijaanzishwa na wala Huawei hajatoa simu yoyote ya Android hivyo cheki facts zako vizuri.
1. Head of camera wa Huawei anatoka Nokia
2. Research centre za Huawei za Camera zipo Finland maabara za Nokia Za zamani.
3. Huawei anamlipa Nokia mamia ya mabilioni kila mwaka kutumia technology zake
 
Mbona hizo version wamezi name ovyo..

Hazina mvuto na zinachanganya wateja..

Msafwa,
Uporoto, Mbeya..

Hazichanganyi labda kama hufatilii...

Zenye point one yan *.1 eg 2.1, 3.1, 5.1, 7.1 nkzote ni mwaka 2018
Point afu mbil ni mwaka jana eg 4.2, 2.2, 3.2. 7.2nk

Point 3 ni mwaka huu mwakan zitakuwa eg 4.4 , 5.4, 7.4 nk
 
Nokia ana contract na zeiss hata kabla Android haijaanzishwa na wala Huawei hajatoa simu yoyote ya Android hivyo cheki facts zako vizuri.
1. Head of camera wa Huawei anatoka Nokia
2. Research centre za Huawei za Camera zipo Finland maabara za Nokia Za zamani.
3. Huawei anamlipa Nokia mamia ya mabilioni kila mwaka kutumia technology zake
Hizi points tatu ulizoweka hapa chini ndio yaleyale ya Sony kuproduce sensor nzuri za camera ila ukija kuangalia camera za simu zake ni trash...
 
Hazichanganyi labda kama hufatilii...

Zenye point one yan *.1 eg 2.1, 3.1, 5.1, 7.1 nkzote ni mwaka 2018
Point afu mbil ni mwaka jana eg 4.2, 2.2, 3.2. 7.2nk

Point 3 ni mwaka huu mwakan zitakuwa eg 4.4 , 5.4, 7.4 nk
Zinauzwa wapi hizi mkuu
 
Hahahah Sony ndio wanapofeli hapo, ni sawa na mtunzi wa vitabu kuwa na mtoto kilaza wa mwisho huku watoto wa wale anaowauzia vitabu kuwa vipanga.
yaani ni mtihani.

kuna simu ilikuwa ni htc ni window phone,sijui kama nimeshashika simu ina camera kali kama ile.hata nokia lumia walikuwa vyema sana kwenye camera.ila hizi nokia utoporo sijui wamerogwa na nani!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom