Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 31,559
- 42,179
Kuna kampuni iliokuwa inatengeneza camera nzuri kushinda Nokia mpaka walipouza division yao kwa microsoft? Even leo flagship za 2020 zinapata tabu kutoa picha nzuri kama Nokia 808 na mpaka leo visensor vyao vinashindwa ku match sensor ya 808, simu ya 2012 inapozipa tabu simu za 2020 bado unaona ni comparison kama ya Sony?Hizi points tatu ulizoweka hapa chini ndio yaleyale ya Sony kuproduce sensor nzuri za camera ila ukija kuangalia camera za simu zake ni trash...
Na kama nilivyokuambia hapo juu Head wa camera department ya Huawei ni Eero Salmelin ambaye ni co inventor wa pureview yeye na Juha Alkarahu. Kazi zake zinajulikana na Root yake inajulikana
Na kama Huawei ama China kwa ujumla wangekuwa na idea ya kutengeneza camera nzuri
1. Wasingeweka R&d finland wangeweka kwao huko china kwanza ni bei rahisi kulipa watu.
2. Wasingetoa mamia ya mabilioni kumlipa Nokia
3. Mpaka jengo wamekodi lile lile alilokuwa anatumia Nokia ili wasiende mbali na wataalamu.
Fikiria mwenyewe kama hio situation ni kama ya Sony.
Btw sample za 808 against best of today
Hapa Ai ikifeli kwenye parachichi
XIAOMI MI NOTE 10 PRO 8P vs SAMSUNG S20 ULTRA vs HUAWEI MATE 30 vs NOKIA PUREVIEW 808 vs PANASONIC DMC-CM1 vs SONY RX0 II vs RICOH GR III
Hapa zipo kibao vs mi note 10, s20, mate 30 etc.