Mbona Simba haijawafunga Yanga kwa miaka kadhaa?, kwa sasa Yanga ndio timu bora hapa nchini.Mkuu hii Yanga ambayo mpaka kipa afanye makosa ndo ishinde una imani nayo?
REFERENCE: Mechi dhidi ya KMC.
Ni kama Simba Walivyo shangilia sare na Azam baada ya makosa ya kibinadamu ya Beki wa Azam.Mkuu hii Yanga ambayo mpaka kipa afanye makosa ndo ishinde una imani nayo?
REFERENCE: Mechi dhidi ya KMC.
Mbona Simba haijawafunga Yanga kwa miaka kadhaa?, kwa sasa Yanga ndio timu bora hapa nchini.
Binafsi Simba yangu siioni ikichukua chochote msimu huu vinginevyo tuliibe kombe la Azam Federation cup.