Mkuu umeliokota jiwe'nini? "Habari wana JAMII FORUM naomba kujua nikiwa na madini naweza kuuza bila kua na vibali vya uchimbaji ?
Hongera sana.Nina kitu kikubwa asee
Sio utani hata mimi nipo gereshani(Crusher) nasaga mawe kusaka gold kwenye moja na mbili...Acha utani kwenye kazi
Nauliza sehem wanapo nunua madini wanahitaji kibali?
Si lazima. Nakutana na watu wengi tu wanauza vinywaji na vyakula vyenye madini wala hawana vibaliHabari wana JAMII FORUM naomba kujua nikiwa na madini naweza kuuza bila kua na vibali vya uchimbaji ?
Makini ivi kwa jijini dar es salaam ni sehem gani wananunuaSio utani hata mimi nipo gereshani(Crusher) nasaga mawe kusaka gold kwenye moja na mbili...
Dhahabu tunauza sokoni na kwa walanguzi tunawaita wakota, pote hatuhitaji kibali lakini wanunuzi ndio lazima wawe na vibali.
Nenda Posta mtaa wa Samora utaona jengo la soko la madiniMakini ivi kwa jijini dar es salaam ni sehem gani wananunua
Pia unaepuka vipi kudhulumiwa?
Vyakula vyenye madini ama kwenye madini?Si lazima. Nakutana na watu wengi tu wanauza vinywaji na vyakula vyenye madini wala hawana vibali
Kila biashara inahitaji kibali.Habari wana JAMII FORUM naomba kujua nikiwa na madini naweza kuuza bila kua na vibali vya uchimbaji ?
Mtafute huyu wa kushoto kabla hujaenda kuuzaHabari wana JAMII FORUM naomba kujua nikiwa na madini naweza kuuza bila kua na vibali vya uchimbaji ?