Habari wana JAMII FORUM je nikitaka kuuza madini lazima niwe na kibali ?

Nina kitu kikubwa asee
Hongera sana.
Utapata tu mtu atajayekupa njia ya kufuata jinsi ya kuliuza.
Maana si kila mtu yupo machimboni na kumiliki leseni, kuna kuokota hata barabarani pia!
Subiri maelekezo.
 
Acha utani kwenye kazi
Nauliza sehem wanapo nunua madini wanahitaji kibali?
Sio utani hata mimi nipo gereshani(Crusher) nasaga mawe kusaka gold kwenye moja na mbili...

Dhahabu tunauza sokoni na kwa walanguzi tunawaita wakota, pote hatuhitaji kibali lakini wanunuzi ndio lazima wawe na vibali.
 
Makini ivi kwa jijini dar es salaam ni sehem gani wananunua
Pia unaepuka vipi kudhulumiwa?
 
Habari wana JAMII FORUM naomba kujua nikiwa na madini naweza kuuza bila kua na vibali vya uchimbaji ?
Mtafute huyu wa kushoto kabla hujaenda kuuza
 
Attachments

  • FB_IMG_1629970788076.jpg
    21.3 KB · Views: 41
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…