MoonBoy
Senior Member
- Jul 15, 2016
- 199
- 135
Habari zenu ndugu zangu, Mimi ni mgeni kabisa katika ishu za Taxmtandao, hususan BOLT, Nataka kutumia chombo changu bajaj kujipatia riziki, na tayari nina akaunti, lakini sasa nasikia kuna hali ya kufungiwa. Leongo la uzi huu ni kufahamu jinsi ya kutumia Bolt kama dereva
POINT
1. Ni makosa gani yanaweza sababisha nikafungiwa?
2. Je Nisipo Accept Abiria, Hilo nalo ni kosa? Kwa maana nimeona hainilipi.
3. Kuna abiria yupo mbali na ulipo, na akakuelewa kua hutomfata, ila nimemuomba akanseli, lakini hakufanya hivyo, Je? Hapo nifanyeje? Mana nikikanseli mimi, litakua kosa
4. Ninachojua Baada ya ku-accept, namfuata alipo, nikisha mpakia nifanyeje?.. (Kuna abiria mmoja nilimpakia, nilipofika akaniambia tumalize trip, kiukweli sikuelewa pale, nilivuruga vuruga tu, ila sikufungiwa na sijui kama nilikua sahihi) sasa ndio nataka kujua nikisha Accept nini chakufanya mpaka kumaliza trip. Na kati ya abiria na dereva, nani anapaswa kumaliza trip?
5. Pia nasikia kuna makato yao hawa bolt kwa kila trip, lakini sikuona mahali palipo andikwa deni, lakini kuna mahali palipoandikwa EARNING TODAY,.. sasa hayo makato yao wanalipwaje? Au wanakata kwenye hizo earnings?
Naombeni msaada wenu ndugu zangu wazoefu, nina imani nitajifunza mengi, na wenzangu wasiofahamu kama mimi
Asanteni kwa ushauri