Akabi kemanya
JF-Expert Member
- Oct 26, 2021
- 226
- 346
Punguza wivu dadah!πππMtaachana tu
Kuna uzi ulileta last month ukasema unamiaka 35 leo una 32. Imepungua mitatu ndani ya mwezi mmoja.Punguza wivu dadah!πππ
Jamani niwapi niliposema mimi nina miaka 32?! Ebu nionyeshe maana inawezekana hata wewe ukawa mke mwenye sifa za kuishi na mimiπKuna uzi ulileta last month ukasema unamiaka 35 leo una 32. Imepungua mitatu ndani ya mwezi mmoja.
Umeenda futa sioJamani niwapi niliposema mimi nina miaka 32?! Ebu nionyeshe maana inawezekana hata wewe ukawa mke mwenye sifa za kuishi na mimiπ
Yaani wewe ungekuwa kalibu ningekuoa wewe nakwambia tena acha wivuπ΅π΅π΅π΅Umeenda futa sio
Punguza wivu wewe tafuta na wewe wako utapata tu, hapa nijukwaa huru kabisa acha kuteseka na hisia weka wazi mambo yako waungwana watakusaidiaMnaachana lini? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Umepata kweli? Mbona una hasira sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Punguza wivu wewe tafuta na wewe wako utapata tu, hapa nijukwaa huru kabisa acha kuteseka na hisia weka wazi mambo yako waungwana watakusaidia
πββοΈπββοΈπββοΈπββοΈUmepata kweli? Mbona una hasira sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23]yaani kuna watu wanakomenti za kukeraUmepata kweli? Mbona una hasira sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]