Akabi kemanya
JF-Expert Member
- Oct 26, 2021
- 226
- 346
Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza mimi kijana wa kitanzania kupitia ukurasa huu nilipata mchumba aitwae _ _
jina naliweka kapuni maana ni maalum kwangu tu, hakika mwanzo sikuamini kama kupitia jukwaa hili unaweza kupta mchumba au marafiki
Rakini leo naomba nithibitishe kuwa jukwaa hili ni ufunguo wa marafiki na wachumba tena ukilitumia vizuri utapata faida kubwa kuliko ulivyo kusudia, Angalizo wadada wa humu wako makini kuliko wewe unavyo hisi.