Habari ya jiji Nissan patrol nismo

issakwisssa

Member
Joined
Dec 13, 2016
Posts
66
Reaction score
123
Hivi lipo gari lenye nguvu ,zuri na chaguo la wajanja kama hii nissan patrol nismo. Isee kama una mihela yako nakusihi kaitupie kwenye hili gari utanishukuru milele
 
Swala la picha ni kawaida
kwasababu ndo hilo hilo utakalolipata pindi ukiliitaji
 
Niliwahi kuliona moja pale moro nililishangaa lina shepu ya kibosibosi hivi.
 
Ipi sifa zake?ainisha sifa zale hasa kona ya gjafla tukio la ghafla ubora wa breki hasa za ghafla stamina ya mwendo barabarani hasa kwenye rat roads uwezo wa mwanga wa taa uwezo wa kuinuka uturivu wa ndani hasa kwenye korogetion nk.ebu ainisha hayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…