issakwisssa
Member
- Dec 13, 2016
- 66
- 123
Hivi lipo gari lenye nguvu ,zuri na chaguo la wajanja kama hii nissan patrol nismo. Isee kama una mihela yako nakusihi kaitupie kwenye hili gari utanishukuru milele
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
0000 kmKama hiyo ni 'laki' ngapi?
Mkuu umeshalimiliki nn!!!!!!!!!!!!!Hivi lipo gari lenye nguvu ,zuri na chaguo la wajanja kama hii nissan patrol nismo. Isee kama una mihela yako nakusihi kaitupie kwenye hili gari utanishukuru mileleView attachment 537405View attachment 537406
Mi dereva tu namwendesha bossMkuu umeshalimiliki nn!!!!!!!!!!!!!
Swala la picha ni kawaidaMkuu unasema habari ya jiji halafu unatupia picha za mtandaoni.. Ungetupia picha za jijini ndo ingenoga zaidi!!
Anyway, sijui mambo ya nguvu ila body lake ni zuri kwa kweli!! Na sio chaguo la wajanja tu ila ni chaguo la wenye pesa ndefu. [emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] kwakweliSio kwa kipindi hiki cha makinikia
Million 200 mkuu c hata nusu hiyo gari0000 km
Bei ni nzuri tu
Kwanzia 200ml huko
Sheikh hii kitu ina sauti flan hivi kama mruzi flan hiv yan ni balaaKwa kweli hilo sina mzuka nalo mimi nitabaki hapa kwenye Nissan Safari aka chura
Linavyokata tope na sauti yake ya kibabe dah
Acha kabisa sheikh wanguSheikh hii kitu ina sauti flan hivi kama mruzi flan hiv yan ni balaa
N zuri ila mafua mengiAiseeee!!! Me prado hua ina
Ninyika ucngz kabisa