Habari ya jiji Nissan patrol nismo

Habari ya jiji Nissan patrol nismo

issakwisssa

Member
Joined
Dec 13, 2016
Posts
66
Reaction score
123
Hivi lipo gari lenye nguvu ,zuri na chaguo la wajanja kama hii nissan patrol nismo. Isee kama una mihela yako nakusihi kaitupie kwenye hili gari utanishukuru milele
Screenshot_2017-06-19-23-15-44-1.png
Screenshot_2017-06-19-23-17-33-1.png
 
Mkuu unasema habari ya jiji halafu unatupia picha za mtandaoni.. Ungetupia picha za jijini ndo ingenoga zaidi!!

Anyway, sijui mambo ya nguvu ila body lake ni zuri kwa kweli!! Na sio chaguo la wajanja tu ila ni chaguo la wenye pesa ndefu. [emoji3][emoji3][emoji3]
Swala la picha ni kawaida
kwasababu ndo hilo hilo utakalolipata pindi ukiliitaji
 
Niliwahi kuliona moja pale moro nililishangaa lina shepu ya kibosibosi hivi.
 
Ipi sifa zake?ainisha sifa zale hasa kona ya gjafla tukio la ghafla ubora wa breki hasa za ghafla stamina ya mwendo barabarani hasa kwenye rat roads uwezo wa mwanga wa taa uwezo wa kuinuka uturivu wa ndani hasa kwenye korogetion nk.ebu ainisha hayo
 
Back
Top Bottom