Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 4,095
- 13,016
Late is not waitingWakuu,
Mimi binafsi bado siamini. How come simple like that? Yaani majamu ajiuzulu kama diwani? On social media?
Akili yangu bado inagoma. Hii ilibidi iwe live. Kama kipindi kile cha lowassa.
Hata kwenye page za ofisi ya makamu hakuna hii taarifa. Account yake iko hacked? Late is wait and see. Oct29 unforgettable.
Imetoka hiyoWakuu,

Hadi chombo cha habari kikubwa itv na milado washaposti hadi bbs pia bado huamini?Wakuu,
Mimi binafsi bado siamini. How come simple like that? Yaani majamu ajiuzulu kama diwani? On social media?
Akili yangu bado inagoma. Hii ilibidi iwe live. Kama kipindi kile cha lowassa.
Hata kwenye page za ofisi ya makamu hakuna hii taarifa. Account yake iko hacked? Late is wait and see. Oct29 unforgettable.
Nasikia kuna mgombea mmoja alikuwa hajui chochote kinachoendelea mara ghafla anaona post kwa Milard Ayo eti "amejitoa kwenye kinyang'anyiro" ndio ikawa imesha hivyo.Kwanini mkuu unashangaa ?
Unajua style ya Ndugai kujiuzulu ?
Hiyo ndio imetumika... Yaani inaandikwa unaambiwa ..haya post mwenyewe...
Pembeni zimekaa AK 47, na uwezekano hata na RPG (Rocket Propelled Granade )
Usicheze na hao watu wanaoitwa Wahuni kwenye System yetu...
Kwanini mkuu unashangaa ?