MADIBA MANDELA
JF-Expert Member
- Mar 2, 2014
- 503
- 398
huna huruma na tembo aseeItakuwa vema magu akimpangia kazi nyingine hasa mkuu wa bodi ya wakurugenz TANAPA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
huna huruma na tembo aseeItakuwa vema magu akimpangia kazi nyingine hasa mkuu wa bodi ya wakurugenz TANAPA
Huu ni uzushi toka mtaa wa ufipa
Wewe usijidanganye kuwa kinana ni mtu mpuuzi kiasi hicho,huyu ni mjuzi wa mambo na utendaji wske wa kazi ni wa hali ya juuNikiwa ndiyo nakimalizia kukisikilizia kipindi cha morning magic, nimesikia wakitangaza kwa ufupi mnoo kuwa Kinana ameandika barua ya kujiuzulu.
Mwenye taarifa zaidi.... Kipi kilichopelekea mpk kuomba kujiuzulu..
Karibu tujadili.
Well said,Kinana plaid a very big roleNadhani Mzee umri umeenda sana,
Ni muda muafaka kupumzika kiungwana na kistaarabu. Kwa kuzingatia zama hizi, nadhani Kinana anastaafu bila kinyongo. Nisiwe mnafki, Busara za Kinana zimesaidia kwa namna fulani kutufikisha hapa tulipo kama Taifa.
Niko kipepeni hapa kuangalia safu ya kukabidhi Nchi kwa Wapinzani itayoundwa na Bwana mkubwa hivi karibuni.
Imagine, Hivi ile ccm ya Mukama, ingekuwa wapi hivi sasa.......
BACK TANGANYIKA
Sasa kutembea hadi urusi kwa miguu si inategemea uko nchi gani?Yawezekana upo Ukraine tena karibu na mpaka wa urusi sasa utashindwaje kufika urusi kwa miguu?Siku Mbowe anajiuzulu, ama Lipumba anaamua kuachana na CUF moja kwa moja, na siku Maalim seif akiachana na kugombea urais Zanzibar, natembea kwa miguu mpaka urusi na kurudi...
Nakushauri ndugu yangu Lizaboni kabla huja kurupuka kujibu tafadhali jaribu kushirikisha ubongoHuu ni uzushi toka mtaa wa ufipa
Kinana aliwasimamia sana hao vijana kufanya propaganda za hovyo sana kwa kuchafua na kupakana matopePovu linakutokaaaa Vp ni mdingi wako nini?
Afadhali atakisaidia chama kujiimarisha na kuwachana na kina afande seleanahamia ACT wazalendo
Kwa maana hiyo na sendeka naye inabidi arudi kijijini!Kwa alichokisema ole sendeka juzi Ni kuwa maghu akikabidhiwa Chama uongozi unatakiwa uachie ngazi ili mwenyekiti ajipange na watu wake sasa naona kinana kaamua kuanza kutekeleza hilo
Mkuu mbona hututakii mema kwa kututupia huyo kinana? Kwani wana dodoma ndiyo hatuhitaji mali asili?Safi mzee dentist......ila huku Arusha hatukutaki ishia huko dodoma,Tembo wetu ukija hawatakuwa salama
Mchawi mpe mtoto akuleleeItakuwa vema magu akimpangia kazi nyingine hasa mkuu wa bodi ya wakurugenz TANAPA