Tulimumu
JF-Expert Member
- Mar 11, 2013
- 14,409
- 13,262
Mwache aende akafanye biashara zakeNikiwa ndiyo nakimalizia kukisikilizia kipindi cha morning magic, nimesikia wakitangaza kwa ufupi mnoo kuwa Kinana ameandika barua ya kujiuzulu.
Mwenye taarifa zaidi.... Kipi kilichopelekea mpk kuomba kujiuzulu..
Karibu tujadili.