Tetesi: Habari za hivi punde: Kinana ameandika barua ya kujiuzulu

kama lizaboni kapinga hii habari ujue labda ni uongo. Kwasabab huyu jamaa ni hatari mwanzon nilizan msela mwenzetu. Ila sasa hiv niko naye chonjo na sasa hivi anavyoposti hivi anaposti kutoka kijitonyama
Naona humjui Lizaboni wewe
 
Kwa alichokisema ole sendeka juzi Ni kuwa maghu akikabidhiwa Chama uongozi unatakiwa uachie ngazi ili mwenyekiti ajipange na watu wake sasa naona kinana kaamua kuanza kutekeleza hilo
Wanaosema uzushi inaonekana hawafuatilii kwa karibu kilichosemwa na msemaji wa chama. Hata kama ni uzushi utakuwa karibu na kweli. Nafikiri hilo litakuwa jambo la busara zaidi kuliko kusubiria hata aenguliwe. Hata hivyo huohuo uzushi ulisema mabadiliko makubwa yaja pengine yameanza!.
 
Sasa kutembea hadi urusi kwa miguu si inategemea uko nchi gani?Yawezekana upo Ukraine tena karibu na mpaka wa urusi sasa utashindwaje kufika urusi kwa miguu?
Nipo Tandahimba mkuu, nalima maharage..karibu
 
Wasira bado kijana?
 
kama lizaboni kapinga hii habari ujue labda ni uongo. Kwasabab huyu jamaa ni hatari mwanzon nilizan msela mwenzetu. Ila sasa hiv niko naye chonjo na sasa hivi anavyoposti hivi anaposti kutoka kijitonyama

Hata akiwa Kijitonyama au Washington ... kujiuzulu ni jambo binafsi hawezi kulijua!!

Inawezekana mtu akalala usiku kesho akaamka na kuandika barua ...!!
 
Wauwaji wa tembo wanajulikana sana na wamfanya biashara hiyo pia wanajulikana. MHE kinana hahusiki na HUO uchafu
Atajaza yeye na MUNGU. ....time will tell
 
Siku Mbowe anajiuzulu, ama Lipumba anaamua kuachana na CUF moja kwa moja, na siku Maalim seif akiachana na kugombea urais Zanzibar, natembea kwa miguu mpaka urusi na kurudi...
Na siku msukuma anajiuzulu?
 
Umetoa swali zuri nauliza vipi Ccm ya makamba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…