Mwache aende akafanye biashara zakeNikiwa ndiyo nakimalizia kukisikilizia kipindi cha morning magic, nimesikia wakitangaza kwa ufupi mnoo kuwa Kinana ameandika barua ya kujiuzulu.
Mwenye taarifa zaidi.... Kipi kilichopelekea mpk kuomba kujiuzulu..
Karibu tujadili.
kwenye siasa huyu alikuwa ni mtu wa fitna sana na fitna alizielewa akipita mahali anashiriki kupalilia mashamba,kujenga nyumba,kuchoma matofari huyu acha tu aendezake akapumzike na mimi nakubaliana na aliyesema kama ccm hawakujipanga kumpata mtu wa kariba ya Kinana ni issue tayari.Kama ni kweli huyu mtu alikuwa muhimu kwa ccm tuseme ukweli tu kinana ni mastermind Wa siasa za ccm
Anajiuzulu sasa hivi au baada ya mkutano mkuu? Maana kama kajiuzulu sasa hivi hana haki ya kuhudhuria vikao vijavyo kwa cheo hicho.
Na kama kafanya hivyo basi mambo sio shwari hata kidogo tusidanganyane
Ana maana ya yule Abdutembo Kindovu?? No way he was everything!Huu ni uzushi toka mtaa wa ufipa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Itakuwa vema magu akimpangia kazi nyingine hasa mkuu wa bodi ya wakurugenz TANAPA
Endelea kusubiriTusububiri taarifa rasmi
Wapo, akina kibajaji, yule wa sanamu, MsukuleMaster plan wa CCM anaondoka ? Kama CCM hawajaandaa mbadala wake its better wamuombe aendelee najua wachache sana watanielewa .
Nitakuwa bado sijarejea safari ya Dodoma. Nitatoka Julai 26 Dodoma kupitia Dar ambako nitapumzika kwa muda wa siku mbili then nitarejea SongeaTupe ukweli lizaboni. USISAHAU NITAKUANDIKIA INBOX, NITAKUWA SONGEA KUANZIA TAREHE 25.
Hujagusia ukweli wa hii habari, kama ulivyoombwa na mdauNitakuwa bado sijarejea safari ya Dodoma. Nitatoka Julai 26 Dodoma kupitia Dar ambako nitapumzika kwa muda wa siku mbili then nitarejea Songea
Wasira bado kijana?