Habari za Intelijensia zinaonyesha Rwanda na DRC ziinaweza kupigana.

Kagame amewashika maskio watu wengi sana, wakati hana chochote wala hana lolote. Ka Rwanda kenyewe ni kama Wilaya ya Tunduru. Kale ka Nchi kanakuzwa na Propaganda za watu waanaoskia stori za Vijiwe vya kawaha na hata Rwanda penyewe hawajawahi fika.
Kwa kifupi punguzeni kumpa Kagame sifa asizostahilli na Rwanda kwa ujumla. Kale ka Nchi hata tungempa Meya wa Kinondoni Bw. SONGORO kangekuwa na Maendeleo zaidi ya hayo yaliyopo.
 
wanasubiri nini sasa, kwamba congo nzima wapigwe na rwanda, mbona dharau hizi.
 

Mmedanganyika snaa na Security intelligence politics za Kagame. Kuna siasa za kiusalama pia kama alivyokuwa nazo Russia hadi leo ameshindwa kuisambaratisha Ukraine

Hizi Siasa , anazifanya snaa Kagame na kujiôneshq he is smart and blah blah

In really sense Ana jeshi dogo na Hana technology ya kivita anayo claim

Enzi ya JK , tulipeleka Army intelligence yetu kwenye huo mkoa wa Kagame ( Rwanda) na tulikuwa na solid findings mpaka JWTZ ikataka kumsambaratisha.
JPM alipojaribu kumuweka karibu PK na kukaribisha baadhi ya security ya PK , nini kilimpata ? Mambo hayatokei bahati mbaya na PK was proven kuwa hana uwezo wa kumlinda yoyote including himself , anachofanya ni siasa za Usalama
And you should know the man now is sick
 
Kwa yale yanayoendelea Congo kutokana na Rwanda kupandikiza waasi, ni sawa Congo kuingia vitani dhidi yao.
 
Rwanda Wapigwe tuu
 
Ni sahihi. Kawatisha wazigua wa JF wanaona kama jamaa ni mwamba kumbe hamna kitu. Wa kawaida sana.
 
Rwanda ni kama TABORA. Maeneo muhimu yakidhibitiwa…… Kagame anakimbia Ofisi. Vita ya Rwanda, hardly kulast 30 days

Enzi ya JK , kuna kipindi alileta fyoko, JWTZ walimuomba JK atoe go ahead wakasaifafishe RWANDA in within 48 hours
Tabora- 75,150 km²
Rwanda- 25,338 km²
Sikonge District - 26,283 km²

Rwanda ni kama wilaya ya Sikonge. Kagame kwa level ya Tanzania ni Mkuu wa Wilaya ya Sikonge 🤣
 
Sasa congo makundi ya waasi wa ndani yamemshinda Rwanda ndo atamuweza?
Ukiona DRC anaungana na Burundi dhidi ya Rwanda,

Jua sisi pia tumia huo vitani upande mojawapo!!

Tegemea Hali ya kiuchumi ya wananchi kuzidi kuwa Tete, maana Kodi zao zinatumika kununua bunduki😪😪
 
Bila msaada kutoka nchi zingine Congo aiwezi kuipiga Rwanda.
Tatizo lenu mnaichukulia Kongo kwa kuitazama Mashariki yake tu au mnaiona Rwanda ina uwezo sana. Rwanda na DRC wakae uwanja wa vita bila influence ya taifa lolote la nje Rwanda anapigwa.

Hapa Afrika hakuna nchi inaweza pewa misukosuko kama DRC na isiwe kama wao walivyo sasa, labda nchi chache sana kama Egypt na Algeria.
 
Kitu usicho kujua huko DRC vinara wa wizi wa madini ni Rwanda na Uganda pia hao ndio wanaanzisha vurugu na kutwangana huko.

Wakenya nao walienda wakaishia kuiba madini.

UN inafadhiri levels huko DRC. Hizo mbinu zinaratibiwa na USA
Ukiangalia Tshekedi yupo sahihi kabisa SADC, Tanzania tukiwepo na tunaongoza tupo zaidi kuisaidia DRC isimame kuliko Rwanda, Uganda na Kenya (EAC).
 
Mkuu hao wa Marekani ukute ndio wa pishi kwa maslahi yao
 
kuna kitu hujaelewa.
jeshi la wazalendo ambalo ni muungano wa vikundi vya waasi wa Congo linapeleka moto vizuri kwa M23.
lakini jeshi la wa Congo wanatupa silaha wanakimbia vita,why?

ipo hivi ukiwa na mamluki kwenye war scalle hutoboi.jeshi la tz huwa lina wafyeka M23 lenyewe,kama likishirikiana basi majeshi ya mataifa mengine lakini sio jeshi la Congo lenye mamluki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…