CHIEF PRIEST JF-Expert Member Joined Dec 13, 2021 Posts 11,635 Reaction score 21,347 Feb 4, 2024 #41 plus_ix said: Sas CIA wanafata nini africa US wanajikuta kinanani sijuh Click to expand... Mkuu unauliza hujui Congo kuna nini?
plus_ix said: Sas CIA wanafata nini africa US wanajikuta kinanani sijuh Click to expand... Mkuu unauliza hujui Congo kuna nini?
CHIEF PRIEST JF-Expert Member Joined Dec 13, 2021 Posts 11,635 Reaction score 21,347 Feb 4, 2024 #42 Ngorunde said: PK anataka kutunisha mfuko wa serikali yake. Click to expand... Yale maendeleo yote unayoyaona Rwanda mzigo unatoka DRC wale M23 ni wanawe kabisa
Ngorunde said: PK anataka kutunisha mfuko wa serikali yake. Click to expand... Yale maendeleo yote unayoyaona Rwanda mzigo unatoka DRC wale M23 ni wanawe kabisa
Kuchwizzy JF-Expert Member Joined Oct 1, 2019 Posts 1,193 Reaction score 2,599 Feb 5, 2024 #43 plus_ix said: Sas CIA wanafata nini africa US wanajikuta kinanani sijuh Click to expand... Hao washenzi wakitia miguu sehemu lazima kichafuke, na sio kama hawana huo uwezo, wanao. Kwa Marekani vita ni biashara kama sisi tunavyouza korosho Mmarekani anapenda vita (namaanisha elites wanaoongoza Marekani na sio raia) Tukaze mkanda wasituingize kwenye hio mipango yao
plus_ix said: Sas CIA wanafata nini africa US wanajikuta kinanani sijuh Click to expand... Hao washenzi wakitia miguu sehemu lazima kichafuke, na sio kama hawana huo uwezo, wanao. Kwa Marekani vita ni biashara kama sisi tunavyouza korosho Mmarekani anapenda vita (namaanisha elites wanaoongoza Marekani na sio raia) Tukaze mkanda wasituingize kwenye hio mipango yao