Ngongo
Platinum Member
- Sep 20, 2008
- 20,654
- 35,887
Heshima sana wanajamvi,
Tumetangaziwa kwamba taifa litaanza kununua umeme Ethiopia !.
Wanasiasa wa chama tawala na warasimu ndani ya serekali wamekuja na utetezi mwingi wa kitoto na wakibwege faida za kununua umeme Ethiopia.
Sababu kuu ni upotevu wa umeme mwingi kutoka vyanzo vya uzalishaji na kuupeleka kanda ya kasikazini Arusha na Manyara.
Kwahiyo sababu kubwa ni umbali (Morogoro & Iringa) kwenda Arusha na Manyara.
Sababu ya umbali kutoka Ethiopia kupitia Kenya kwenda Arusha hazina mashiko.
Nimeamini CCM na Serekali kwa ujumla wanatuona sisi waTanzania MABWEGE kweli kweli.
Msemaji wa Serekali Mr Msigwa alikuja na mbwembwe nyingi ohoo Bwawa la Mwl Nyerere linauweza kuzalisha umeme miaka mitatu mfululizo hata mvua ingeacha kunyesha.
Tukaambiwa tuna umeme wa ziada lakini sasa tunatakiwa kununua umeme wa Ethiopia.
Kalakabaho Mitanzania ni mibwege kweli kweli.
Ngongo kwasasa Bole International Airport.