Tetesi: Habari za kusikitisha; Continental kufa rasmi mitambo yake kuzimika tarehe 1 march

[emoji15] [emoji15] [emoji3] [emoji3] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115] hili swali ninaloulizwa kila wakati limekuwa linanishangaza kweli... Mshana hulali?mzee wewe unalala saa ngapi? Mbona nakuona online 24/7? Nknk[emoji23] [emoji23] [emoji23].... Basi nabaki na tabasamu na kujiuliza hawa wanaoniulizaga wanakuwa usingizini!? Tena ndotoni kabisa..!!? [emoji3] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Hahahahahahhahahahahah [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] naamini kabisa wanakuwa ndotoni. Usijiulize sana mkuu.
 
[emoji15] [emoji23] [emoji3]
 
[emoji15] [emoji15] [emoji3] [emoji3] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115] hili swali ninaloulizwa kila wakati limekuwa linanishangaza kweli... Mshana hulali?mzee wewe unalala saa ngapi? Mbona nakuona online 24/7? Nknk[emoji23] [emoji23] [emoji23].... Basi nabaki na tabasamu na kujiuliza hawa wanaoniulizaga wanakuwa usingizini!? Tena ndotoni kabisa..!!? [emoji3] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Nimechaka sana kaka.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wanafiki nchi hii wako vyema sana
 
[emoji15] [emoji15] [emoji3] [emoji3] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115] hili swali ninaloulizwa kila wakati limekuwa linanishangaza kweli... Mshana hulali?mzee wewe unalala saa ngapi? Mbona nakuona online 24/7? Nknk[emoji23] [emoji23] [emoji23].... Basi nabaki na tabasamu na kujiuliza hawa wanaoniulizaga wanakuwa usingizini!? Tena ndotoni kabisa..!!? [emoji3] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Ha ha ha!
 
" Continental " ndiyo nini ? Inatangaza matangazo gani. ? Ukweli sijaelewa hapa
 
Continental iko imara kabisa, kadi na vingamuzi vinauzwa madukani kama kawaida, sijui taarifa hizi wewe unazipikia wapi?
 
Ndo maana jamaa alisema hamna mfanyabiashara aliyemchangia inaonekana mchango wao kautosa
 
Wateja wa continental poleni
Inasemekana continental imekufa na kushindwa kujiendesha kwa sababu ya kukosa wateja,fedha, na kudaiwa kodi na TRA

Mfano, inasemekana kwamba wamekosa mpaka pesa ya kununua Card za ving'amuzi vyao. Ushawahi kusikia kampuni ikikosa mpaka Card za ving'amuzi?

Kwa hiyo tarehe 1 march wanazima mitambo yao ya ardhini ya minara na pia matangazo ya sattelite yanatarajiwa kuzimwa ifikapo April 5

Poleni wateja wa Continental kwa majanga hayo
Mmiliki wake si kada na alijitoa sana wakati Wa shida,au ndo malipo yake.
 
Jamaa wajanja sana...miezi minne nyuma walikua na promotion. ..Vingamuzi viliuzwa kinoma 35000 ...Leo ukienda Rock City ofisi imefungwa na mnyororo
 
Jamaa alijikomba kwenye kampeni za urais alidhani atamsamehe kodi. Wacha aipate kujipendekeza
 
Ndio hao wenye Startv.. acha waende zao..
 
Back
Top Bottom