Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 11,884
- 21,175
Inaondoa madoa kwenye pasi ya umeme itashindwa kulainisha nyama?Nimeona mtandao kuwa watu wanalalamika kwamba supu zinawaletea usingizi. Wengine wanadai ni sababu ya matumizi ya Ajinomoto na wengine wanasema watu wanatumia Paracetamol kulainisha nyama. Hii habari ya kutisha ina ukweli gani?
View attachment 3689429View attachment 3689428View attachment 3689430View attachment 3689431
Usitutishe basiNyie kataa ndoa MTAKUFA vifo vibaya
Jifanyeni kula mahotelini na kwa mama ntilie Kila siku.
Shida tupu.Aisee kukicha ni mapya 🙌🏾
Kazini unaenda na mkeo kukupikia?Nyie kataa ndoa MTAKUFA vifo vibaya
Jifanyeni kula mahotelini na kwa mama ntilie Kila siku.