Tetesi: Habari zaanza kuvuja kuhusu zilikoenda Trilioni 1.5 "zilizopotea"

Mie sio mtaalam ila kwa vyovyote vile, uwajibikaji kwenye hii 1.5 T hauwezi kukwepeka. Hapo kuna mawili, CAG ametudanganya (hajui kazi yake) au serikali wanaficha kitu.

Kama manunuzi ya ndege na matumizi mengine hayakupitishwa na bunge, unategemea repoti itakuwa sawa?

Kwa vyovyote vile. Kuna upande inabidi utoe maelezo. Hii ya kusingizia vyombo vya usalama itazima mjadala kirahisi sana. Ni kama ilivyotokea ile boat ya kwenda Bagamoyo, hairuhusiwi kujadili.
 
Ni lini kumewahi kuwa na utaratibu ulio wazi katika kuajiri watu wa usalama? Na ni lini budget ya masuala ya usalama imewahi kuwekwa wazi?
Kwa hiyo watu wa Usalama wanaajiriwa ovyo ovyo tu kama wafanyakazi wa duka la mhindi? Na matumizi yao ni bora liende bila kuwa na namna fulani ya uwajibikaji? Tofautisha kati ya "confidentaility" na "irregularity". Kama hujui maana ya hivi vitu viwili bora ukae kimya.
 
Umesahau na Yale mabunda ya noti malaika anayogawa akiwa kwenye ziara.
Hivi ulishawahi kushika zaidi ya elfu 35?

Trillion 1.5 ikitolewa kwenye system kwa uchumi kama wa Tanzania nchi lazima ifilisike Ile pesa ya escrow isiyozidi hata billion 350 ilianza kuchotwa kuanzia enzi za mwinyi hii trillion 1.5 ndio ichukuliwe kwa miezi 2?

Huu utumbo mwingine kwamba hiyo pesa inalipia mshahara ya mambo ya Usalama ndio utaahira kabisa, wafanyakazi wote Tanzania nzima zaidi ya laki 5 wanalipwa mshahara hauzidi billion 500 kwa mwezi

Nyie mataahira mnadanganyana hapa wafanyakazi wanaoajiriwa kwa siri na pesa anazotoa Rais kwa wananchi ndio zimegharimu trillion 1.5

Lazima uwe maiti ndio uamini hii mavi
 
hee huo ugawaji wa mapesa kwenye misafara matumizi ya bashite uzinduziununuzi wa madiwani nk nk nkhela zitaacha kuyeyuka
 
hahahah Malofa utawapa kwenye hili
 

Hivi unajua kusoma? Umeambiwa sehemu kubwa ya Trilioni 1.5 wewe unakurupuka kuwa ni sehemu yote ya Trilioni 1.5. Huko zilokoenda nyingine tutawajulisha taratibu, bado tunapewa taarifa. Na nani kasema zilichukuliwa kwa miezi miwili? Hata sehemu iliyotimika kwa mambo ya waganga wa kienyeji hatutaisema. Kwani mlipewa invoice kwa huduma zao?
 
Unataka tukuamini wewe au ripoti ya CAG ilyoeeleza 1.5 ilikusanywa lakini haioneshi imetumika vipi?
 
hee huo ugawaji wa mapesa kwenye misafara matumizi ya bashite uzinduziununuzi wa madiwani nk nk nkhela zitaacha kuyeyuka

Alaf unaambiwa hakuna pesa zilizopotea na wanataka vitabu viwe sawa. Haiendi namna hiyo.
 
Nikiangalia idadi ya pesa na utumbo wako haviingiliani kabisa,ni mbingu na ardhi,porojo hizi wataelewa mashabiki wako tu,sio ma GT.
Majibu ya naibu waziri wa fedha yalijitosheleza kabisa
Itapendeza zaidi ukimramba viatu vyake.
 

Sasa kwanini ganzi na kigugumizi binatawala kila huu Mjadala wa 1.5 T unapoanzishwa?
 
Tunasubilia chama tawala kulala mika kuhusu ilo, ila sijui kama Panya atamfunga kengere Paka......:
 
Hii ni hatari kubwa. Naona nchi hii sasa imegeuzwa shamba la bibi . Inauma sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…