Habari ziwafikie wanachama wote popote walipo

kipara kipya

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2016
Posts
18,833
Reaction score
23,276
Hakuna maneno mengine huu ndio ukweli japo mchungu ila makamanda waoga sana ushahidi anao Lissu!

=====

Sisi tulipokuwa katika siasa za uke wenza ambazo @ChademaTz inaziona ndio mtaji hatukuwa kama wao. Tulipigana kweli kweli, tulikufa kwa mamia. Hatukupiga kelele tu mitandaoni, tuliandamana nchi nzima. Hata 2020 tuliandamana live na tulikufa zaidi 20. Kipi kipya mtufunze sisi?
20220113_134644.jpg

Screenshot_20220113-134941.png
 
Ndio kawaida ya wanasiasa wa kiafrika kuutumia ujinga wa wafuasi wao.
Ili kupamdia ngazi.
 
Alikufa? Kwahiyo amefufuka? Waliokufa familia zao zinahangaika yeye na familia yake kwasasa wanakula vinono hata aibu Hana
Tundu Lissu bila uokozi Toka juu mbinguni Sasa hivi angekuwa Jongomeo acha kujitoa ufahamu.Ni mwenyezi Mungu ndiye aliyemuokoa Tundu Lissu na kifo.Ninyi na shetani wenu aliyewatuma mlishindwa Kwa nguvu za Mungu!
 
Kuna mzee alisema watawala siyo lazima wawe wameshika madaraka tu, bali hata upinzani kuna watawala! Kwa hapa kwetu naona CDM wanalazimisha kuwa watawala wa wapinzani wengine!

Wanashindwa kujifunza, Zitto wamegombana naye 2014, wakamtimua, lakini hadi leo hii wana chuki, husda, wivu na kinyongo juu yake! Wakati huo huo Samia kagombana na Ndugai hadi kumtemesha Uspika, lakini hata wiki 2 hazijapita wameshaitana Ikulu, kila mtu katoa la moyoni, wamesameheana, sasa wanaunganisha nguvu kukijenga chama chao! Stupid CDM
 
Wewe kama ni mke mwenza wa CCM basi sawa
 
Stupid wewe na wake wenza wenzako
 
Tundu Lissu bila uokozi Toka juu mbinguni Sasa hivi angekuwa Jongomeo acha kujitoa ufahamu.Ni mwenyezi Mungu ndiye aliyemuokoa Tundu Lissu na kifo.Ninyi na shetani wenu aliyewatuma mlishindwa Kwa nguvu za Mungu!
Masheitwan walitaka kunywa damu yake kama kawaida yao
 
CUF ngangari, CUF jino kwa jino wakiwa na ngome yao pele Buguruni na TEMEKE. Vijana walijitoa kisawasawa na chama chao, true loyalty. Kule Pemba na Unguja ndio usiseme, Serikali ilipata taabu haswa.

Wakisema wanaandamana waliandamana kweli bila woga na ile style yao ya kwenye mafuso na matambara yakitaja matawi yao, walisafiri popote pale kusherehesha shughuli za chama.

Hawa wengine wanajiita makamanda ilihali wako wanaandamana twitani na JF wakipigwa mkwara hata na Afande Moroto tu huwaoni popote zaidi ya twita na JF wakilalamika na kujiita makamanda.
 
Back
Top Bottom