Habari ziwafikie wanachama wote popote walipo

Habari ziwafikie wanachama wote popote walipo

CUF ngangari, CUF jino kwa jino wakiwa na ngome yao pele Buguruni na TEMEKE....vijana walijitoa kisawasawa na chama chao, true royality...Kule Pemba na Unguja ndio usiseme, Serikali ilipata taabu haswa..

Wakisema wanaandamana waliandamana kweli bila woga...na ile style yao ya kwenye mafuso na matambara yakitaja matawi yao, walisafiri popote pale kusherehesha shughuli za chama..

Hawa wengine wanajiita makamanda ilihali wako wanaandamana twitani na JF.... wakipigwa mkwara hata na Afande Moroto tu huwaoni popote zaidi ya twita na JF wakilalamika na kujiita makamanda...
Royality ndiyo nini ??
 
Kuna mzee alisema watawala siyo lazima wawe wameshika madaraka tu, bali hata upinzani kuna watawala! Kwa hapa kwetu naona CDM wanalazimisha kuwa watawala wa wapinzani wengine!

Wanashindwa kujifunza, Zitto wamegombana naye 2014, wakamtimua, lakini hadi leo hii wana chuki, husda, wivu na kinyongo juu yake! Wakati huo huo Samia kagombana na Ndugai hadi kumtemesha Uspika, lakini hata wiki 2 hazijapita wameshaitana Ikulu, kila mtu katoa la moyoni, wamesameheana, sasa wanaunganisha nguvu kukijenga chama chao! Stupid CDM
Mi sijawahi kuona CHADEMA wanamsema Zitto au ACT bali ACT (mfano ni kama hi tweet hapa ) ndio wamekua busy na kuikosoa CHADEMA always, Chadema wao wapo busy na mambo yao tu.
Sisi kama Watanzania wa kawaida tunamjua ni nani mpinzani kati ya CDM na ACT au Zitto na viongozi wa Chadema
 
Michango mzuri sana asubuhi ya leo.
 
Back
Top Bottom