Kuna mzee alisema watawala siyo lazima wawe wameshika madaraka tu, bali hata upinzani kuna watawala! Kwa hapa kwetu naona CDM wanalazimisha kuwa watawala wa wapinzani wengine!
Wanashindwa kujifunza, Zitto wamegombana naye 2014, wakamtimua, lakini hadi leo hii wana chuki, husda, wivu na kinyongo juu yake! Wakati huo huo Samia kagombana na Ndugai hadi kumtemesha Uspika, lakini hata wiki 2 hazijapita wameshaitana Ikulu, kila mtu katoa la moyoni, wamesameheana, sasa wanaunganisha nguvu kukijenga chama chao! Stupid CDM