Chadomo imeondoka na SLAACUF ngangari, CUF jino kwa jino wakiwa na ngome yao pele Buguruni na TEMEKE....vijana walijitoa kisawasawa na chama chao, true loyalty...Kule Pemba na Unguja ndio usiseme, Serikali ilipata taabu haswa..
Wakisema wanaandamana waliandamana kweli bila woga...na ile style yao ya kwenye mafuso na matambara yakitaja matawi yao, walisafiri popote pale kusherehesha shughuli za chama..
Hawa wengine wanajiita makamanda ilihali wako wanaandamana twitani na JF.... wakipigwa mkwara hata na Afande Moroto tu huwaoni popote zaidi ya twita na JF wakilalamika na kujiita makamanda...
Eti, almwokoa Mungu. Lisu na mungu hapa na wapi?Tundu Lissu bila uokozi Toka juu mbinguni Sasa hivi angekuwa Jongomeo acha kujitoa ufahamu.Ni mwenyezi Mungu ndiye aliyemuokoa Tundu Lissu na kifo.Ninyi na shetani wenu aliyewatuma mlishindwa Kwa nguvu za Mungu!
Je na ninyi chama Cha mbogamboga kilichoasisiwa Toka kuzimu,kazi yenu kuua watu , na Mungu wapi na wapi?Eti, almwokoa Mungu. Lisu na mungu hapa na wapi?
CHADEMA, ni chama cha vibaka wanaotafuta kujaza tumbo. Wanachama wake ni hayawani na pungasese kupindukia. Sijawahi kuwa mwanachama wa chama chochote cha siasa. Usinihusishe na CCM. Nawaona tu mnavonyukwa na hao mnaowaita mashetani. Mtajibeba.Je na ninyi chama Cha mbogamboga kilichoasisiwa Toka kuzimu,kazi yenu kuua watu , na Mungu wapi na wapi?
Lisu aliposhindwa kwenye urais akahamasisha maandamano nchi nzima ila makamanda yakajificha uvunguni mwa vitanda!Kweli bado Chadema wapo nyuma sana katika kuwashawishi wanachama wao ,aidha viongozi wa Chadema ni waoga kuliko maelezo ,Tokea Uhai wa maalim Seif sijawahi kusikia kiongozi amekimbia nje ya nchi na kuishi uhamishoni ? Chadema wanazaidi ya mwananchama mmoja aliekimbia nchi, Je wanaweza kurudi ?
ACT nina uhakika wanaweza kufanya kweli kimaandamano ni warithi wa siasa za upinzani zile walizotokea akina Maalim Seif ,lakini hawa wanaojiita makamandaz naona ni maandaziz . Wana nguvu za usemaji nzuri tu ,sijui kwanini wanachama wanakuwa hawawaungi mkono wanapoamua kitu tofauti na ACT.
... "tulikufa"? Angeandika hayo?Hakuna maneno mengine huu ndio ukweli japo mchungu ila makamanda waoga sana ushahidi anao Lissu!View attachment 2078897
nachama wa ACT ni misukule? maana walishakufa kwa mamia.Hakuna maneno mengine huu ndio ukweli japo mchungu ila makamanda waoga sana ushahidi anao Lissu!View attachment 2078897
Ulijuaje kama sikutokea?Swali kwa nini hukutokea Lissu alipoitisha maandamano!
Mfuniko unapoamua kumsifia pipa!Michango mzuri sana asubuhi ya leo.
Angeandika mmekufa!... "tulikufa"? Angeandika hayo?
... marehemu anaandika?Angeandika mmekufa!
Hakuna maneno mengine huu ndio ukweli japo mchungu ila makamanda waoga sana ushahidi anao Lissu!
View attachment 2078897
Kuna mzee alisema watawala siyo lazima wawe wameshika madaraka tu, bali hata upinzani kuna watawala! Kwa hapa kwetu naona CDM wanalazimisha kuwa watawala wa wapinzani wengine!
Wanashindwa kujifunza, Zitto wamegombana naye 2014, wakamtimua, lakini hadi leo hii wana chuki, husda, wivu na kinyongo juu yake! Wakati huo huo Samia kagombana na Ndugai hadi kumtemesha Uspika, lakini hata wiki 2 hazijapita wameshaitana Ikulu, kila mtu katoa la moyoni, wamesameheana, sasa wanaunganisha nguvu kukijenga chama chao! Stupid CDM
CUF ngangari, CUF jino kwa jino wakiwa na ngome yao pele Buguruni na TEMEKE. Vijana walijitoa kisawasawa na chama chao, true loyalty. Kule Pemba na Unguja ndio usiseme, Serikali ilipata taabu haswa.
Wakisema wanaandamana waliandamana kweli bila woga na ile style yao ya kwenye mafuso na matambara yakitaja matawi yao, walisafiri popote pale kusherehesha shughuli za chama.
Hawa wengine wanajiita makamanda ilihali wako wanaandamana twitani na JF wakipigwa mkwara hata na Afande Moroto tu huwaoni popote zaidi ya twita na JF wakilalamika na kujiita makamanda.
Kweli bado Chadema wapo nyuma sana katika kuwashawishi wanachama wao ,aidha viongozi wa Chadema ni waoga kuliko maelezo ,Tokea Uhai wa maalim Seif sijawahi kusikia kiongozi amekimbia nje ya nchi na kuishi uhamishoni ? Chadema wanazaidi ya mwananchama mmoja aliekimbia nchi, Je wanaweza kurudi ?
ACT nina uhakika wanaweza kufanya kweli kimaandamano ni warithi wa siasa za upinzani zile walizotokea akina Maalim Seif ,lakini hawa wanaojiita makamandaz naona ni maandaziz . Wana nguvu za usemaji nzuri tu ,sijui kwanini wanachama wanakuwa hawawaungi mkono wanapoamua kitu tofauti na ACT.
Yaani Tundu lissu amzidi maalim seif zanzibar?Uke wenza au kuolewa?. Naona ACT nayo imefuata mkumbo was CCM kuishambulia CHADEMA. Yani mtu akuuwe Halafu kesho akuoe?. Mbona sijaelewa. Yani unaolewa na mtu aliyemuua Dada yako ukiona, Halafu anamuona mzuri . ACT wajirekebishe, 2020 mgombea wa CHADEMA alikuwa na impact Zanzibar kuliko wa ACT.
Mchukieni mama Samia na siyo uraisMfuniko unapoamua kumsifia pipa!
Mbona mlikusudia kumuua?Yaani Tundu lissu amzidi maalim seif zanzibar?