Hussein Massanza
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 1,016
- 2,195
Ningekuwa mchezaji, kabla sijaenda Simba au Yanga, lazima wanihakikishie kucheza mechi nyingi angalau kuanza mechi 10 kwenye msimu
Kucheza mechi zote angalau dakika 30 kama sijaanza
Ni mchezaji gani wa maana ambaye amevunjiwa (amepambaniwa) mkataba na Yanga,...? We taja hata mmoja tu😂Sasa awa ndio aina ya wachezaji ambao Simba inaweza kuwapambania. Sio wale wa kutunishiana misuli ya Fedha. Ata yule Sopu hawamwezi tena kwakua wababe wamesha ingia.
Akitaja nitag[emoji23][emoji23][emoji23]Ni mchezaji gani wa maana ambaye amevunjiwa (amepambaniwa) mkataba na Yanga,...? We taja hata mmoja tu[emoji23]
Uymuka mlongo?Karibu lunyasi Habib, ila achunge kusotea bench.
Sema tu ameenda simba
Yule ambaye klabu yake ilishindwa kwenye masharti ya mkataba mpya baada ya Tajiri wa timu kukosa fedha za mshahara mpya na kupiga magoti uku akimwomba mchezaji apunguze mpaka milioni Saba kutoka 11.Ni mchezaji gani wa maana ambaye amevunjiwa (amepambaniwa) mkataba na Yanga,...? We taja hata mmoja tu[emoji23]
Ni kwamba mpaka sasa hamjasajili mchazaji yoyote wa maana.Yule ambaye klabu yake ilishindwa kwenye masharti ya mkataba mpya baada ya Tajiri wa timu kukosa fedha za mshahara mpya na kupiga magoti uku akimwomba mchezaji apunguze mpaka milioni Saba kutoka 11...
Unakuta mtu antamba eti wamesajiki wachezaji wa gharama, ilhali hakuna hata mmoja ambae wamemvunjia mkataba.Akitaja nitag[emoji23][emoji23][emoji23]
Majamaa yanabeba free agent tu(wachaezaji wa bure) wanaishia kubeba kina kambole,morisson,ki azizi, n.k hawawezi kununua mkataba hao
Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
Mtaje mchezaji wa Sasa au miaka 20 iliyopita namba 10 mwenye uwezo wakucheza eneo lote la mbele apo Simba kama K. AzizUnakuta mtu antamba eti wamesajiki wachezaji wa gharama, ilhali hakuna hata mmoja ambae wamemvunjia mkataba...
Maslahi ndio muhimuUnyamani atatoboa? Angebaki huko ale mashudu