Habib Kyombo ndiye mshambuliaji pekee hatari mzawa hapa nchini, Mgunda asimweke sana benchi

Mayele alifunga? Na Simba
 
Kwahiyo mpole alikuwa anachezea na kina Messi au Neyma?.
 
Acha kujitekenya na kucheka mwenyewe Kyombo alisajiliwa Mbeya kwanza raundi ya pili. Mechi 15 goal 7 .Mayele mechi 30 goal 16.
Huko alikotoka hakuwa anachezea?
 
Nikubaliane na wewe kwa kusema kuwa hata Chama hana ubora wowote kwa kuwa kule Berkane alishindwa kuonesha ubora mpaka akaamua kurudi Simba.
Yes, maana ubora wa mtu unategemea anacheza na kina nani, pengine Ligi yetu ni nyepesi wakija Wana shine Ila wakienda Ligi zenye ubora zaidi yetu wanashindwa, though factors zipo nyingi za mchezaji kuperfome
 
Kwahiyo mpole alikuwa anachezea na kina Messi au Neyma?.
Ungetumia akili kidogo tu ungekumbuka kuwa Geita walishiriki Shirikisho kutokana na nafasi yao kwenye ligi. Hiyo ni kutokana na kuwa na wachezaji wengi wazuri na siyo Mpole peke yake. Au labda kama Geita kwenye ligi walifunga magoli 17 peke yake.
 
Upuuzi mwingine bana😅
 
Bado naunga mkono hoja. Makosa yaliyotokea hata mess anaweza yafanya
 
Kyombo ni dalali wa ndondo cup [emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…