Habib Kyombo ndiye mshambuliaji pekee hatari mzawa hapa nchini, Mgunda asimweke sana benchi

Habib Kyombo ndiye mshambuliaji pekee hatari mzawa hapa nchini, Mgunda asimweke sana benchi

Kwa mtizamo wa mleta bandiko, Kyombo ni mshambuliaji mahiri kwakua alipoingia alikua akiruka na kuwazidi mipira ya juu mabeki wa Yanga, alikua akiwapiga chenga mabeki wa Yanga Kwaiyo ni mshambuliaji kinara Kwa wazawa.
Kitu ambacho mleta bandiko aelewi izo zoote ni kazi Bure kama mshambuliaji hafungi.
Kazi za mshambuliaji ni kufunga Magoli, sio chenga Wala kurukajuu kuwapita mabeki.
Uwezo wa mshambuliaji ni Sanaa ya ufungaji izo purukushani nyingine hazina maana yoyote katika mpira wa miguu.
Mayele alifunga? Na Simba
 
Hata angekuwa na magoli mawili bado atakuwa wa daraja la juu. Alikuwa anacheza na wachezaji wa aina gani? Makocha walikuwa kina nani? Msimu uliopita ilibaki kidogo Mwamnyeto awe beki bora wa Ligi kuu kwa kuwa tu alikuwa akicheza na wachezaji wazuri hivyo akaonekana bora. Kilichombeba ni kivuli cha mafanikio ya timu ila hakustahili hata kuingia kwenye mchuano.
Kwahiyo mpole alikuwa anachezea na kina Messi au Neyma?.
 
Acha kujitekenya na kucheka mwenyewe Kyombo alisajiliwa Mbeya kwanza raundi ya pili. Mechi 15 goal 7 .Mayele mechi 30 goal 16.
Huko alikotoka hakuwa anachezea?
 
Nikubaliane na wewe kwa kusema kuwa hata Chama hana ubora wowote kwa kuwa kule Berkane alishindwa kuonesha ubora mpaka akaamua kurudi Simba.
Yes, maana ubora wa mtu unategemea anacheza na kina nani, pengine Ligi yetu ni nyepesi wakija Wana shine Ila wakienda Ligi zenye ubora zaidi yetu wanashindwa, though factors zipo nyingi za mchezaji kuperfome
 
Kwahiyo mpole alikuwa anachezea na kina Messi au Neyma?.
Ungetumia akili kidogo tu ungekumbuka kuwa Geita walishiriki Shirikisho kutokana na nafasi yao kwenye ligi. Hiyo ni kutokana na kuwa na wachezaji wengi wazuri na siyo Mpole peke yake. Au labda kama Geita kwenye ligi walifunga magoli 17 peke yake.
 
Ungetumia akili kidogo tu ungekumbuka kuwa Geita walishiriki Shirikisho kutokana na nafasi yao kwenye ligi. Hiyo ni kutokana na kuwa na wachezaji wengi wazuri na siyo Mpole peke yake. Au labda kama Geita kwenye ligi walifunga magoli 17 peke yake.
Upuuzi mwingine bana😅
 
Bado naunga mkono hoja. Makosa yaliyotokea hata mess anaweza yafanya
 
Tuache ushabiki, kuingia kwa Habib Kyombo kumeipa ahueni sana Simba. Kyombo alikuwa anakwenda angani na mabeki wa Yanga.

Bangala na Job na aliweza kushinda mipira yote ya juu, alikuwa na uwezo wa kupiga chenga, alikuwa akionyeshana sana ubavu na mabeki wa Yanga.

Habib Kyombo hastahili kukaa benchi, huyo Manzoki tunayetaka kumwaga mahela ni afadhali tuendelee na Kyombo.

Kyombo ni dalali wa ndondo cup [emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom