FK21
JF-Expert Member
- May 27, 2019
- 8,600
- 10,760
Mayele angekuwa mbeya kwanza 4 asingefikishaHuyu huyu kyombo aliyetoka na gori 7 mbeya kwanza ndio kawa mshambukiaji hatari?. Dah mnamasihara na mpira sasa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mayele angekuwa mbeya kwanza 4 asingefikishaHuyu huyu kyombo aliyetoka na gori 7 mbeya kwanza ndio kawa mshambukiaji hatari?. Dah mnamasihara na mpira sasa.
Mayele alifunga? Na SimbaKwa mtizamo wa mleta bandiko, Kyombo ni mshambuliaji mahiri kwakua alipoingia alikua akiruka na kuwazidi mipira ya juu mabeki wa Yanga, alikua akiwapiga chenga mabeki wa Yanga Kwaiyo ni mshambuliaji kinara Kwa wazawa.
Kitu ambacho mleta bandiko aelewi izo zoote ni kazi Bure kama mshambuliaji hafungi.
Kazi za mshambuliaji ni kufunga Magoli, sio chenga Wala kurukajuu kuwapita mabeki.
Uwezo wa mshambuliaji ni Sanaa ya ufungaji izo purukushani nyingine hazina maana yoyote katika mpira wa miguu.
Kisinda alikuwa na speed ikawaje akatimuliwa?Mpira wa kule umepiga hatua, awahitaji mchezaji mwenye spidi ya konokono.Chama ni mchezaji wa apapa.
Kwahiyo mpole alikuwa anachezea na kina Messi au Neyma?.Hata angekuwa na magoli mawili bado atakuwa wa daraja la juu. Alikuwa anacheza na wachezaji wa aina gani? Makocha walikuwa kina nani? Msimu uliopita ilibaki kidogo Mwamnyeto awe beki bora wa Ligi kuu kwa kuwa tu alikuwa akicheza na wachezaji wazuri hivyo akaonekana bora. Kilichombeba ni kivuli cha mafanikio ya timu ila hakustahili hata kuingia kwenye mchuano.
Hebu weka na dakika zao walizocheza sio unaleta porojo za kishamba.Dirisha dogo magoli 7 halafu unamdharau?
Makambo mwaka mzima goli 0 halafu mnasema ni mchezaji hatari.
Luc Eymael hakukosea kuwaita lile jina
Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
Huko alikotoka hakuwa anachezea?Acha kujitekenya na kucheka mwenyewe Kyombo alisajiliwa Mbeya kwanza raundi ya pili. Mechi 15 goal 7 .Mayele mechi 30 goal 16.
Upuuzi!!Kule alikuwa analala gesti,mshahara laki saba,huku analala hotel nyota tano mshahara milioni 4,ni watu wawili tofauti jina moja
Utataja mpaka babu yako.Phiri Kyombo Okrah
Chama
Kanoute Mzamiru
Zimbwe Onyango Inonga Israh
Manula
Bench: Beno, Kennedy, Nyoni, Kapama, Kibu, Banda, Sakho.
Kama wanahitaji wachezaji wenye mbio bila maarifa, kwanini Kisinda karudi kustaafia hapo Yanga?Mpira wa kule umepiga hatua, awahitaji mchezaji mwenye spidi ya konokono.Chama ni mchezaji wa apapa.
Masuala ya babu yangu yameingiaje hapa mkuu?Utataja mpaka babu yako.
Yes, maana ubora wa mtu unategemea anacheza na kina nani, pengine Ligi yetu ni nyepesi wakija Wana shine Ila wakienda Ligi zenye ubora zaidi yetu wanashindwa, though factors zipo nyingi za mchezaji kuperfomeNikubaliane na wewe kwa kusema kuwa hata Chama hana ubora wowote kwa kuwa kule Berkane alishindwa kuonesha ubora mpaka akaamua kurudi Simba.
Ungetumia akili kidogo tu ungekumbuka kuwa Geita walishiriki Shirikisho kutokana na nafasi yao kwenye ligi. Hiyo ni kutokana na kuwa na wachezaji wengi wazuri na siyo Mpole peke yake. Au labda kama Geita kwenye ligi walifunga magoli 17 peke yake.Kwahiyo mpole alikuwa anachezea na kina Messi au Neyma?.
Upuuzi mwingine bana😅Ungetumia akili kidogo tu ungekumbuka kuwa Geita walishiriki Shirikisho kutokana na nafasi yao kwenye ligi. Hiyo ni kutokana na kuwa na wachezaji wengi wazuri na siyo Mpole peke yake. Au labda kama Geita kwenye ligi walifunga magoli 17 peke yake.
Tuache ushabiki, kuingia kwa Habib Kyombo kumeipa ahueni sana Simba. Kyombo alikuwa anakwenda angani na mabeki wa Yanga.
Bangala na Job na aliweza kushinda mipira yote ya juu, alikuwa na uwezo wa kupiga chenga, alikuwa akionyeshana sana ubavu na mabeki wa Yanga.
Habib Kyombo hastahili kukaa benchi, huyo Manzoki tunayetaka kumwaga mahela ni afadhali tuendelee na Kyombo.
Bado naunga mkono hoja. Makosa yaliyotokea hata mess anaweza yafanya
Mwacheni atafanya vizuri alikua na kiteteAchana kumfananisha lapulga na V2 vya kijinga unazani ile nafasi Kyombo,,, Mess anakuachaje