Habibu Anga: Yericko Nyerere ameniibia makala zangu Facebook huyu dogo ni mweupe na hana Elimu yoyote kama kama ilivyo kwa Mbowe

Newforce

JF-Expert Member
Joined
May 13, 2024
Posts
430
Reaction score
708
Kumbe Yericko Nyerere na makaratasi yake yale anayoyaita vitabu kama alivyosema Dkt Lwaitama anaibaiba huku na kule kazi za watu na kujifanya msomi wa mambo ya Ujasusi na mshauari wa Mbowe wa kumtukana ovyo Tundu Lissu.

Genge linalomuunga mkono Mbowe ni la watu wa ajabu ajabu sana ndio maana Leo Prof Safari na watu wengine wa maana wako wapi CHADEMA?

Eti Leo washauri wa Mwenyekiti Mbowe ni huyu Yericko, Boni Yai na Ntobi kweli chama Kiko ICU.
Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.

 
Leo ndio mmejua Yericko ni kanjanja tu??
Anajulikana siku nyingi. Amejipa mpaka ''tuzo'' za wandishi bora Afrika. Jamaa ni laghai na hawezi kuandika hata sentensi moja kwa kiingereza kilichonyooka. Tunajua ni tapeli siku nyingi lakini ila sasa hivi tunataka kuanika ni watu wa aina gani waliomzunguka na kumtetea Mbowe.
 
Hii ndio sauti ya Habibu Anga?

Huyu Mwamba nilimkubali alivyoandika

Social Engineering, covid-19
 
Habibu Hanga huyuhuyu anayelalamikiwa humu kwa Utapeli?
 
Habibi Hanga si kun thread ya kumtapeli mtu humu elfu 60.

Seeeking validation for bs..

Hizi ni public platforms na huna haki na chochote unachoandika humu au kwenye social media yeyote...

Hizo bla bla zao za kijinga toka vitabu vinauzwa vinaisha vinachapishwa vingine walikuwa wapi...

Siasa maji taka wanacheza.

Vijana wengi wa kitanzania ni mazuzu sana , unatumika na watu wachache kea manufaa yao... Wewe unabaki mbangaizaji tu.

Mwambieni waendelee kuimba wimbo wa Diaspora
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…