Habibu Anga: Yericko Nyerere ameniibia makala zangu Facebook huyu dogo ni mweupe na hana Elimu yoyote kama kama ilivyo kwa Mbowe

Habibu Anga: Yericko Nyerere ameniibia makala zangu Facebook huyu dogo ni mweupe na hana Elimu yoyote kama kama ilivyo kwa Mbowe

Kitabu kitawekwa faceboooku ?nenda basi kamnyanganye ward yake
Kumbe Yericko Nyerere na makaratasi yake yale anayoyaita vitabu kama alivyosema Dkt Lwaitama anaibaiba huku na kule kazi za watu na kujifanya msomi wa mambo ya Ujasusi na mshauari wa Mbowe wa kumtukana ovyo Tundu Lissu.

Genge linalomuunga mkono Mbowe ni la watu wa ajabu ajabu sana ndio maana Leo Prof Safari na watu wengine wa maana wako wapi CHADEMA?

Eti Leo washauri wa Mwenyekiti Mbowe ni huyu Yericko, Boni Yai na Ntobi kweli chama Kiko ICU.
View attachment 3187554
View attachment 3187555
View attachment 3187556
View attachment 3187558
 
Hata kile kitabu cha ujasusi wa kidola na kiuchumi, ukisoma vizuri utagundua makosa ya kiuandishi mengi tu. Ni kama alkua anakopi sentensi za kzungu kuja kiswahili sasa hzo tafsiri zenyewe ni kama unasoma lugha ngeni usioijua kabisa kumbe kiswahili.....lakini mbaka anauza vtabu mbaka viishe hawa walalamikaji walikua wapi??

Hivi vitabu ameuza sana hasa mitandaoni huko nadhani, kapiga hela sanaa tu huyu jamaa
 
Kwani Nifah asemaje kuhusu ili
Habibi Hanga si kun thread ya kumtapeli mtu humu elfu 60.

Seeeking validation for bs..

Hizi ni public platforms na huna haki na chochote unachoandika humu au kwenye social media yeyote...

Hizo bla bla zao za kijinga toka vitabu vinauzwa vinaisha vinachapishwa vingine walikuwa wapi...

Siasa maji taka wanacheza.

Vijana wengi wa kitanzania ni mazuzu sana , unatumika na watu wachache kea manufaa yao... Wewe unabaki mbangaizaji tu.

Mwambieni waendelee kuimba wimbo wa Diaspora
 
Leo ndio mmejua Yericko ni kanjanja tu??
Mkuu kuropoka ndio strategy ya mtu wao kuupata uwenyekiti. Sasa jiulize, vitabu vya Yericko Nyerere toka ameanza kuvitangaza ni lini? Yeye Habib B. Anga ni plagiarist number Moja. Niliwahi kumwambia huko Jamii Intelligence akaniblock maana nilimwekea hadi makala alizokopi akijifanya zake!
 
Wakati anaanza hizi harakati alikuwa anacopy wikipedia. Nakumbuka niliwahi kuifuatilia makala moja nikafanya utafiti wangu nikagundua ni tafsiri ya kiswahili ya makala ya wiki pedia kuhusu uhasusi nadhani ilikuwa israel. Tangu siku hizo simzingatii.
 
Back
Top Bottom