Habibu Anga: Yericko Nyerere ameniibia makala zangu Facebook huyu dogo ni mweupe na hana Elimu yoyote kama kama ilivyo kwa Mbowe

Habibu Anga: Yericko Nyerere ameniibia makala zangu Facebook huyu dogo ni mweupe na hana Elimu yoyote kama kama ilivyo kwa Mbowe

Kumbe Yericko Nyerere na makaratasi yake yale anayoyaita vitabu kama alivyosema Dkt Lwaitama anaibaiba huku na kule kazi za watu na kujifanya msomi wa mambo ya Ujasusi na mshauari wa Mbowe wa kumtukana ovyo Tundu Lissu.
Wewe na huyo Lwaitama ni wapumbavu na wanafiki mnayasema haya leo wakati Yeriko hajayatoa leo.
Sababu leo Lissu anagombea, hamfai ktk ustawi wa chama na Taifa.
 
Hata kile kitabu cha ujasusi wa kidola na kiuchumi, ukisoma vizuri utagundua makosa ya kiuandishi mengi tu. Ni kama alkua anakopi sentensi za kzungu kuja kiswahili sasa hzo tafsiri zenyewe ni kama unasoma lugha ngeni usioijua kabisa kumbe kiswahili.....lakini mbaka anauza vtabu mbaka viishe hawa walalamikaji walikua wapi??

Hivi vitabu ameuza sana hasa mitandaoni huko nadhani, kapiga hela sanaa tu huyu jamaa
Jamaa ni tapeli na anaishi kwa unjanja ujanja. Anza na jina la ''Nyerere'', ambalo amejipachika ili kuvuta attention za watu. Kwa kifupi iko hivi:
1. Amejipachika jina la Nyerere
2. Amejipachika elimu ya stashahada ya kiuchunguzi kutoka chuo cha kikuu huria (hakina jina) Uingereza
3. Elimu ya stashahada ya uchunguzi na upelelezi kutoka taasisi ya kimataifa ya "International Institute Of Certified Forensic Investigation Professionals" kwa kushirikiana na "Osulivan Associates International" - USA
4. Amewahi kufanya kazi ya mshauri binafsi wa mambo ya usalama kwa Dr Slaa.
5. Amejipa awards kadhaa za mwandishi bora wa vitabu Afrika
Kwa kifupi jamaa inaonekana anasumbuliwa na ugonjwa fulani wa akili na anaugua aina ya ''perceived Popularity''
Hawa watu walikuwa wapi kulalamika? Nadhani waikuwa wanamdharau ila sasa wanataka kuonyesha Mbowe amezungukwa na watu wa aina gani.
 
Hafanyi acknowledgement ya source za taarifa zake. Angeweka footnotes za references kwa vitabu vya Habib na wengine alikonakili
Hata kama angetaka, atawekaje footnotes kwa kitabu kizima? Huyu hata kuandika sentensi ya kiingereza iliyonyooka hawezi. Hivi ''vitabu'' vyake mbona ni wengi tu tunasema siku nyingi kuwa siyo vitabu bali ni muunganiko wa sentensi zilizokopiwa kutoka sehemu mbali mbali?
 
Hizi ni public platforms na huna haki na chochote unachoandika humu au kwenye social media yeyote...
Labda hujawahi kuandika vitabu, ila lazima ufanye citation ya unapotoa taarifa zako kwa ajili ya credibility na referencing. Kwahiyo hata uki copy social media lazima uweke link ya article.

Kuna chaneli inaitwa HMG yaani kila post ya JF Intelligence inatengenezewa video kule bila acknowledgement ya authors je ni halali?
 
Mwizi huyo
 

Attachments

  • IMG-20241229-WA0010.jpg
    IMG-20241229-WA0010.jpg
    69.2 KB · Views: 4
  • IMG-20241229-WA0009.jpg
    IMG-20241229-WA0009.jpg
    54 KB · Views: 4
  • IMG-20241229-WA0008.jpg
    IMG-20241229-WA0008.jpg
    73.3 KB · Views: 4
Hafanyi acknowledgement ya source za taarifa zake. Angeweka footnotes za references kwa vitabu vya Habib na wengine alikonakili
Kama habibu na yeye kanakili sehemu? Maana mambo ambayo alikuwa anayaandika hayatoki kichwanu mwake kuna sehemu ameyapata. Ila kwa sababu wabongo wavivu kusoma jamaa wanatuburuza.

Kuna jamaa mmoja alikuwa anaandika vitu deep sana, yaani hadi unajiona huna akili kabisa., siku aliponishushia source zake nikawa mpole. Ni vitabu tena anavinunua kwa gharama nje ya nchi hata bongo havipo. Na ili uvisome uelewe inabidi na uwe na uwezo mkubwa sana.

Kwa hiyo inawezekana wote wanakopi sehemu, ila jasusu Nyerere upeo wake uko limited. Qnaogelea kwenye fukwe za fikra z wanaojishughulisha

Wote wasameheane yaishe.
 
Back
Top Bottom