Duuh! Jamiiforums kiboko!!Naye huyo Habibu si anatuhuma za utapeli zipo humu??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duuh! Jamiiforums kiboko!!Naye huyo Habibu si anatuhuma za utapeli zipo humu??
Yericko ni tapeliNilimdharau Yericko Nyerere pale alipoanzisha uzi humu jamiiforums akaanza kuchangia mwenyewe akijua kuwa amebadili ID kumbe bado inasomeka ileile aliyoanzishia uzi.
Toka siku hiyo sisomi chochote akiandikacho Yericko.
Naona hujanielewa, hakuna kitu kipya in fact kwa sisi watafiti hauwezi publish article ila tu kila sentensi unayoandika lazima uweke reference umeisoma au umeitoa wapi. Meaning kunakili kunaruhusiwa ila lazima umtambulishe uliyenakili kwake.Kama habibu na yeye kanakili sehemu? Maana mambo ambayo alikuwa anayaandika hayatoki kichwanu mwake kuna sehemu ameyapata. Ila kwa sababu wabongo wavivu kusoma jamaa wanatuburuza.
Kuna jamaa mmoja alikuwa anaandika vitu deep sana, yaani hadi unajiona huna akili kabisa., siku aliponishushia source zake nikawa mpole. Ni vitabu tena anavitunua kwa gharama nje ya nchi hata bongo havipo. Na ili uvisome inabidi uelewe na uwe na uwezo wa kuvichqmbua kwa mtu mwingine inabidi uwe na akili kama za muandishi.
Kwa hiyo inawezekana wote wanakopi sehemu, ila jasusu Nyerere upeo wake uko limited. Qnaogelea kwenye fukwe za fikra z wanaojishughulisha
Wote wasameheane yaishe.
SahihiNaona hujanielewa, hakuna kitu kipya in fact kwa sisi watafiti hauwezi publish article ila tu kila sentensi unayoandika lazima uweke reference umeisoma au umeitoa wapi. Meaning kunakili kunaruhusiwa ila lazima umtambulishe uliyenakili kwake.
Ila kueleza concept alafu ukajimilikisha wakati unajua sio wazo lako, ni makosa
Mkuu nipe link ya uziHabibu Hanga huyuhuyu anayelalamikiwa humu kwa Utapeli?
Hio ni article na lazima uparaphrase au uandike ulivyoelewa ukikopi kama kilivyo lazima uweke funga na fungua semi. Hii ni tofauti kwa kitabu ambapo unaweka footnote(hata article pia waweza weka)au unaweka kweny reference. Zile direct and indirect citation kweny kitabu unakua ufanyiNaona hujanielewa, hakuna kitu kipya in fact kwa sisi watafiti hauwezi publish article ila tu kila sentensi unayoandika lazima uweke reference umeisoma au umeitoa wapi. Meaning kunakili kunaruhusiwa ila lazima umtambulishe uliyenakili kwake.
Ila kueleza concept alafu ukajimilikisha wakati unajua sio wazo lako, ni makosa
Tuombe Nifah athibitishe kama ni sauti yakeHii ndio sauti ya Habibu Anga?
Huyu Mwamba nilimkubali alivyoandika
Social Engineering, covid-19
Taratibu bwashe 😄Naye huyo Habibu si anatuhuma za utapeli zipo humu??
Pwagu & pwaguziMwizi kaibiwa na Mwizi mwenzie, patamu hapo😁
Hahahaahahahaa ngoja nicheke mie
Sasa mbowe anaingiaje hapo????Kumbe Yericko Nyerere na makaratasi yake yale anayoyaita vitabu kama alivyosema Dkt Lwaitama anaibaiba huku na kule kazi za watu na kujifanya msomi wa mambo ya Ujasusi na mshauari wa Mbowe wa kumtukana ovyo Tundu Lissu.
Genge linalomuunga mkono Mbowe ni la watu wa ajabu ajabu sana ndio maana Leo Prof Safari na watu wengine wa maana wako wapi CHADEMA?
Eti Leo washauri wa Mwenyekiti Mbowe ni huyu Yericko, Boni Yai na Ntobi kweli chama Kiko ICU.
View attachment 3187554
View attachment 3187555
View attachment 3187556
View attachment 3187558
Ni mshauari wakeSasa mbowe anaingiaje hapo????
Nilimjua huyu dogo ni mweupe alipochukua upande kwenye vita ya ukraini na urusiLeo ndio mmejua Yericko ni kanjanja tu??
Naomba link Mkuu. Yule Ndugu ni shida, niliwahi kulipia makala yake ya Vipepeo weusi. Ilikuwa matata sana!Social Engineering, covid-19
Naomba link ya hizo tuhuma!Naye huyo Habibu si anatuhuma za utapeli zipo humu??
Aliwahi kuvuta Attention yangu once for all.Naomba link Mkuu. Yule Ndugu ni shida, niliwahi kulipia makala yake ya Vipepeo weusi. Ilikuwa matata sana!