Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
ZISAJILI NA KUZIPA COPYWRITE ILI UWEZO KULIPWA MAPESA KUTOKANA NA WIZI WA KAZI ZAKO!Kumbe Yericko Nyerere na makaratasi yake yale anayoyaita vitabu kama alivyosema Dkt Lwaitama anaibaiba huku na kule kazi za watu na kujifanya msomi wa mambo ya Ujasusi na mshauari wa Mbowe wa kumtukana ovyo Tundu Lissu.
Genge linalomuunga mkono Mbowe ni la watu wa ajabu ajabu sana ndio maana Leo Prof Safari na watu wengine wa maana wako wapi CHADEMA?
Eti Leo washauri wa Mwenyekiti Mbowe ni huyu Yericko, Boni Yai na Ntobi kweli chama Kiko ICU.
View attachment 3187554
View attachment 3187555
View attachment 3187556
View attachment 3187558
Huyo yerico, ni vilaza tu kama wengine, watu wa kiki za hovyo,anajifanya mtunzi wa vitabu vya intelijensia, miaka hiyo, tulisoma vitabu vya Elvis Musiba, Na characters kama Willy Gamba, Joram kiango, na watunzi hawakufanya kiki wala uchawa, Ila tuliwajua kwa kazi, zao,Kumbe Yericko Nyerere na makaratasi yake yale anayoyaita vitabu kama alivyosema Dkt Lwaitama anaibaiba huku na kule kazi za watu na kujifanya msomi wa mambo ya Ujasusi na mshauari wa Mbowe wa kumtukana ovyo Tundu Lissu.
Genge linalomuunga mkono Mbowe ni la watu wa ajabu ajabu sana ndio maana Leo Prof Safari na watu wengine wa maana wako wapi CHADEMA?
Eti Leo washauri wa Mwenyekiti Mbowe ni huyu Yericko, Boni Yai na Ntobi kweli chama Kiko ICU.
View attachment 3187554
View attachment 3187555
View attachment 3187556
View attachment 3187558
Asaidiane na Mshana Jr 🐼Yericko Nyerere njoo huku ujibu shutuma
Yerico na mapungufu huwezi andika kitabu cha page zaidi ya 1500 kama hujui jambo ni ngumu sana apewe maua yakeYericko mnamsingizia. Huwa anapata taarifa kupitia intelligence cables, siyo mtu mwepesi mwepesi.
😄😄😄😄Yericko kasema haji humu yupo kajifungia kwake huko Mbutu Kigamboni anaandika kitabu kipya kinaitwa " MBOWE MTU NA NUSU" na kasema hata mumuue hawezi kuacha uchawa kwa Mangi
Duh mbona walimfanyia unyama kiasi hiki. Jamaa yuko vizuri sana kwenye uandishi yaani makala zake zote zilizoko jf ukizisoma ni kama movie hivi. Kama walizinguana na mods au Mello nadhani ni busara kusameheana na kuendelea na maisha mengine. Isitoshe hii dunia tunapita tu kwa muda mfupi sana.Siyo kwa kupenda mkuu, alipokwa account na password zikabadilishwa.
Wewe ndio hauielewi, lakini sisi tunaielewa.
Hafanyi acknowledgement ya source za taarifa zake. Angeweka footnotes za references kwa vitabu vya Habib na wengine alikonakili
Huyu hawezi kuja. Kuna Uzi wake humu kaukimbia kautelekeza hata mods wameshindwa wamsaidie vipi.Yericko Nyerere njoo huku ujibu shutuma
sawa, hawezi kuandika hata sentensi moja ya Kiingereza...Jamaa ni laghai na hawezi kuandika hata sentensi moja kwa kiingereza kilichonyooka. Tunajua ni tapeli siku nyingi
Mkuu acha kutaja wasiohusika, ndoa ikivunjika inavunjika na vingi. Maandiko yanasema hata mke alalaye kifuani mwako asiijue siri yako.Duh mbona walimfanyia unyama kiasi hiki. Jamaa yuko vizuri sana kwenye uandishi yaani makala zake zote zilizoko jf ukizisoma ni kama movie hivi. Kama walizinguana na mods au Mello nadhani ni busara kusameheana na kuendelea na maisha mengine. Isitoshe hii dunia tunapita tu kwa muda mfupi sana.
Unachanganya madawa na hata hujui ninachozungumzia hapa. Sizungumzii vitabu kutoandikwa kwa kiingereza ila nazungumzia elimu anayodai kuwa nayo vs uwezo wake wa hii lugha. Hicho kitabu unachozungumzia huoni Matojo amesema kuwa jamaa kaiba kazi yake?sawa, hawezi kuandika hata sentensi moja ya Kiingereza...
Kitabu chake cha The Road to Ikulu, kama angekiandika kwa Kiingereza kizuri, kuna Mwingereza duniani anaetaka kwenda Ikulu ?
Tanzania mtu akishindwa jambo lililo dhahiri anakimbilia kwenye kusema ni chuki. Kwa taarifa yako watoto hawana chuki hivyo hakuna chuki za kitoto bali kuna chuki za kikubwa tu. Yeriko ni watu wanaishi kwa ujanja ujanja. Kama wewe unaona ni chuki sidhani kama itabadilisha chochote.Dah watu mnachuki za kitoto sana
Makaratasi ya YerikoKitabu kitawekwa faceboooku ?nenda basi kamnyanganye ward yake
huoni Matojo amesema kuwa jamaa kaiba kazi yake?
Hii kali sana sasa , Yericko njoo ujibuKumbe Yericko Nyerere na makaratasi yake yale anayoyaita vitabu kama alivyosema Dkt Lwaitama anaibaiba huku na kule kazi za watu na kujifanya msomi wa mambo ya Ujasusi na mshauari wa Mbowe wa kumtukana ovyo Tundu Lissu.
Genge linalomuunga mkono Mbowe ni la watu wa ajabu ajabu sana ndio maana Leo Prof Safari na watu wengine wa maana wako wapi CHADEMA?
Eti Leo washauri wa Mwenyekiti Mbowe ni huyu Yericko, Boni Yai na Ntobi kweli chama Kiko ICU.
View attachment 3187554
View attachment 3187555
View attachment 3187556
View attachment 3187558