Habibu Anga: Yericko Nyerere ameniibia makala zangu Facebook huyu dogo ni mweupe na hana Elimu yoyote kama kama ilivyo kwa Mbowe

Habibu Anga: Yericko Nyerere ameniibia makala zangu Facebook huyu dogo ni mweupe na hana Elimu yoyote kama kama ilivyo kwa Mbowe

Kumbe Yericko Nyerere na makaratasi yake yale anayoyaita vitabu kama alivyosema Dkt Lwaitama anaibaiba huku na kule kazi za watu na kujifanya msomi wa mambo ya Ujasusi na mshauari wa Mbowe wa kumtukana ovyo Tundu Lissu.

Genge linalomuunga mkono Mbowe ni la watu wa ajabu ajabu sana ndio maana Leo Prof Safari na watu wengine wa maana wako wapi CHADEMA?

Eti Leo washauri wa Mwenyekiti Mbowe ni huyu Yericko, Boni Yai na Ntobi kweli chama Kiko ICU.
View attachment 3187554
View attachment 3187555
View attachment 3187556
View attachment 3187558
ZISAJILI NA KUZIPA COPYWRITE ILI UWEZO KULIPWA MAPESA KUTOKANA NA WIZI WA KAZI ZAKO!
 
Kumbe Yericko Nyerere na makaratasi yake yale anayoyaita vitabu kama alivyosema Dkt Lwaitama anaibaiba huku na kule kazi za watu na kujifanya msomi wa mambo ya Ujasusi na mshauari wa Mbowe wa kumtukana ovyo Tundu Lissu.

Genge linalomuunga mkono Mbowe ni la watu wa ajabu ajabu sana ndio maana Leo Prof Safari na watu wengine wa maana wako wapi CHADEMA?

Eti Leo washauri wa Mwenyekiti Mbowe ni huyu Yericko, Boni Yai na Ntobi kweli chama Kiko ICU.
View attachment 3187554
View attachment 3187555
View attachment 3187556
View attachment 3187558
Huyo yerico, ni vilaza tu kama wengine, watu wa kiki za hovyo,anajifanya mtunzi wa vitabu vya intelijensia, miaka hiyo, tulisoma vitabu vya Elvis Musiba, Na characters kama Willy Gamba, Joram kiango, na watunzi hawakufanya kiki wala uchawa, Ila tuliwajua kwa kazi, zao,
Kuna wakili mmoja, jina Msechu, ameandika novel yenye title Conspiracy, ni kitabu chenye madini ya kutosha kuhusu ujasusi,
Ni kazi moja nzuri Sana, lakini hqjigambi kama hawa machawa
 
Siyo kwa kupenda mkuu, alipokwa account na password zikabadilishwa.
Duh mbona walimfanyia unyama kiasi hiki. Jamaa yuko vizuri sana kwenye uandishi yaani makala zake zote zilizoko jf ukizisoma ni kama movie hivi. Kama walizinguana na mods au Mello nadhani ni busara kusameheana na kuendelea na maisha mengine. Isitoshe hii dunia tunapita tu kwa muda mfupi sana.
 
Hafanyi acknowledgement ya source za taarifa zake. Angeweka footnotes za references kwa vitabu vya Habib na wengine alikonakili

Kwani habib kuwa anaweka?

Mmoja hapo ni translator anatoa hadithi za kizungu na movie then anaweka kwenye mpangilio rahisi kusoma kwa lugha pendwa Kiswahili. Ukiwa sio mfatilia unaweza kudhania ni originator wa story kumbe ni kipaji tu cha usimuliaji.
Kazi kama hiyo iki andikwa na mtu wa tatu au nne bado utaita ni plagiarism na kutaka acknowledgement?

Ndio maana nikasema kwa watu hao wawili, neno plagiarism inabidi liwe na maana nyingine tofauti.
 
Hata Habibu hanga na yeye ni tapeli kama anaowasema.
Makala zote alizoweka hapa JF ni kama alikuwa anasaidia kuzitafsiri tu maana zaidi ya tafsri hakuna jingine. Kibaya alikuwa hata hawataji wamiliki wa hizo makala.
 
Jamaa ni laghai na hawezi kuandika hata sentensi moja kwa kiingereza kilichonyooka. Tunajua ni tapeli siku nyingi
sawa, hawezi kuandika hata sentensi moja ya Kiingereza...

Kitabu chake cha The Road to Ikulu, kama angekiandika kwa Kiingereza kizuri, kuna Mwingereza duniani anaetaka kwenda Ikulu ?
 
Duh mbona walimfanyia unyama kiasi hiki. Jamaa yuko vizuri sana kwenye uandishi yaani makala zake zote zilizoko jf ukizisoma ni kama movie hivi. Kama walizinguana na mods au Mello nadhani ni busara kusameheana na kuendelea na maisha mengine. Isitoshe hii dunia tunapita tu kwa muda mfupi sana.
Mkuu acha kutaja wasiohusika, ndoa ikivunjika inavunjika na vingi. Maandiko yanasema hata mke alalaye kifuani mwako asiijue siri yako.
 
sawa, hawezi kuandika hata sentensi moja ya Kiingereza...

Kitabu chake cha The Road to Ikulu, kama angekiandika kwa Kiingereza kizuri, kuna Mwingereza duniani anaetaka kwenda Ikulu ?
Unachanganya madawa na hata hujui ninachozungumzia hapa. Sizungumzii vitabu kutoandikwa kwa kiingereza ila nazungumzia elimu anayodai kuwa nayo vs uwezo wake wa hii lugha. Hicho kitabu unachozungumzia huoni Matojo amesema kuwa jamaa kaiba kazi yake?
 
Dah watu mnachuki za kitoto sana
Tanzania mtu akishindwa jambo lililo dhahiri anakimbilia kwenye kusema ni chuki. Kwa taarifa yako watoto hawana chuki hivyo hakuna chuki za kitoto bali kuna chuki za kikubwa tu. Yeriko ni watu wanaishi kwa ujanja ujanja. Kama wewe unaona ni chuki sidhani kama itabadilisha chochote.
 
huoni Matojo amesema kuwa jamaa kaiba kazi yake?

La kuiba kazi za watu sijazungumzia.

Nimeelekeza swali-hoja yangu kwenye madai yako kuwa Kiingereza chenyewe Yericko kuandika hawezi hata sentenso.

Kitabu ni Road to Ikulu.

Kuna Mwingereza amekwama kwenda Ikulu kwa kushindwa kumuelewa Yericko na Kiingereza kibovu ????
 
Kumbe Yericko Nyerere na makaratasi yake yale anayoyaita vitabu kama alivyosema Dkt Lwaitama anaibaiba huku na kule kazi za watu na kujifanya msomi wa mambo ya Ujasusi na mshauari wa Mbowe wa kumtukana ovyo Tundu Lissu.

Genge linalomuunga mkono Mbowe ni la watu wa ajabu ajabu sana ndio maana Leo Prof Safari na watu wengine wa maana wako wapi CHADEMA?

Eti Leo washauri wa Mwenyekiti Mbowe ni huyu Yericko, Boni Yai na Ntobi kweli chama Kiko ICU.
View attachment 3187554
View attachment 3187555
View attachment 3187556
View attachment 3187558
Hii kali sana sasa , Yericko njoo ujibu
 
Back
Top Bottom