Habibu B. Anga (The Bold) Mungu akupe maisha marefu sana, afya njema pamoja na baraka tele. I sincerely appreciate your writings brother. All the best

Hakika umenena vema@
 
Haaswaaaa mkuu upo sahihi
 
Amekuruhusu lakini kutoa jina lake?
 
Nashukuru sana Mkuu kwa pongezi na kunitia moyo.
Ni adimu sana watu wa sekta moja kuonesha appreciation kwa mwingine. Inadhihirisha ukomavu wa haiba na misuli yako ya fikra.

Mwenyezi Mungu akuweke nawe pia ndugu yangu tuendelee kusongesha hili gurudumu.
Naamini siku moja mbegu tunayoipanda itamea maua mema sana kwenye jamii yetu.

Cheers Comrade.
 
Naunga mkono hoja,,, hakika huyu jamaa ni mmoja kati ya members walionifanya niipende JF,,nilikuwa msomaji na mfuatiliaji mzuri wa JF kabla sijawa member,,,ilikuwa nikikuta Uzi wa huyu the bold na members wengineo ambao sitowataja hapa nitawavimbisha kichwa,,,,ilikuwa ni lazima nisome,,tena mwanzo hadi mwisho..,,kuanzia thread hadi comments
 
Mkuu tunakushukuru sana sana Kwa kutuamsha na kutufunza bila kujali haters wanaongea nini.Be blessed comrade.
 
Amen comrade 🙏 🙏
 
Cheers. One love.
Christiano Ronaldo (CR7) alipokuwa bado anachezea Real aliwahi kuwapiga hat trick Atletico Madrid katika uwanja wa nyumbani wa Santiago Bernabeu kwenye mechi ya kwanza ya league kuu wa Spain (La Liga)

Kwenye mechi ya Round ya Pili katika uwanja wa nyumbani wa Atletico Madrid wa Estadio Metropolitano Ronaldo akapiga tena hat trick.

Baada ya kuona vile mashabiki woooote wa Atletico Madrid kwa heshima kubwa wakaamua kunyanyuka juu ya viti vyao na wote kwa pamoja kuanza kumpigia makofi CR7 baba lao.

Habibu wewe ndio CR7 wa Jamiiforums kwa sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…