Kisoda James
JF-Expert Member
- Jun 11, 2020
- 1,114
- 813
Maaaambo dada. Ninaomba number zako.Kwa kweli...ila na wewe nitakufungulia Uzi wa kukupongeza,hauko nyuma kwenye kutuelimisha mkuu
@Absolutely rightHongera kwake.. kazi nzuri.
Sijui hiyo kazi yake huwa anatafuta hela tu au anamengine maana anafahamu vitu si mchezo..
Jamaa ana passion na kazi yake.
Poa....chukua.Maaaambo dada. Ninaomba number zako.
Shukrani mkuu.The Bold ni a.k.a ila Habibu ni jina lake halisi kama sijakosea mkuu
mzee baba umeandika pasipo kuweka nukta hata moja.Nilimkubali sana mwanzo huyo jamaa na nilikuwa big fan wake ila alivoanza kusimulia nusunusu mara aende kumalizia hadithi zake kwenye group la WhatsApp ambalo sijui member ili wajoin walipie nikaona apa kuna kitu Story mara isimuliwe wiki mbili hata haieleweki itaisha lini nikaona isiwe tabu nikapotezea kufatilia afu alikuja kuungana na Mzee wa Canada Tycoon Ontario nkapunguza speed kumfatilia mpaka now simfatilii kabisa ila yupo vizuri kwenye data collection na Kuzi merge ili zileta Attractive storu shida yake ameshindwa kujua approach sahihi ya kuingiza pesa kupitia JF na Kalamu anayotumia
Asante sana mkuu. Hawa jamaa nimejifunza mambo mengi sana kupitia makala zao humu JF. Wanastahili sana kupata heshima yangu.Ninapenda sana mtu mwenye shukrani na ambaye huangalia mambo kwa positive way
Ni muislam wa kuzaliwa msichunguze chunguze vitu visivyowahusu muhimu soma kile anachokiandika kama ni mkristo muislam au buddha ita utakavyoita ila acheni kutaka kuyafahamu hayo hayakuongezei maarifa yoyote.Huyu mshkaji naskia alisilimu nikweli mkuu? The bold, and now anaitwa Habibu.
zitto junior I appreciate you too brother. Unaandikaga madini sana. Long live Jamiiforums
Thanks brother. Ninaomba pia mnikosoe pale ninapoteleza kwa maana mimi pia ni binadamu sijakamilika kwa 100%Namkubaliii piaa ila nasoma na zako mzee uko poaa
upo vizuri sana kijana kama unajua kutoa appreciation. ubarikiwe na weweShikamooni wakubwa zangu wote wa hapa JamiiForums. Mimi mdogo wenu (Last Born) Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty.
Ndugu zangu Watanzania huyu Habibu B. Anga (The Bold) Mungu ampe maisha marefu sana, afya njema pamoja na baraka tele. I sincerely appreciate his writings here on JF. I wish him all the best.
Ninapenda kutumia wasaa huu kutuma salama zangu za pongezi pamoja na heartfelt appreciation kwa ndugu yangu Habibu B. Anga kwa makala zake nzuri sana humu JF ambazo honestly nimekuwa nikijifunza mambo mengi sana mema na mazuri ambayo nilikuwa sijawahi kuyafahamu hapo kabla.
Mimi pia ni mwandishi wa makala kule jukwaa la Jamii Intelligence ila Habibu B. Anga anajua sana kusimulia na kupangilia story zake. Kwa kweli ananikosha sana. Ona hii sasa;
Christiano Ronaldo (CR7) alipokuwa bado anachezea Real aliwahi kuwapiga hat trick Atletico Madrid katika uwanja wa nyumbani wa Santiago Bernabeu kwenye mechi ya kwanza ya league kuu wa Spain (La Liga)
Kwenye mechi ya Round ya Pili katika uwanja wa nyumbani wa Atletico Madrid wa Estadio Metropolitano Ronaldo akapiga tena hat trick.
Baada ya kuona vile mashabiki woooote wa Atletico Madrid kwa heshima kubwa wakaamua kunyanyuka juu ya viti vyao na wote kwa pamoja kuanza kumpigia makofi CR7 baba lao.
Habibu ndio CR7 wa Jamiiforums kwa sasa.
Mkuu, endelea kutupa ladha pasipo kuchoka.
Long live Habibu. Long live JamiiForums.
well said bro.@Ni muislam wa kuzaliwa msichunguze chunguze vitu visivyowahusu muhimu soma kile anachokiandika kama ni mkristo muislam au buddha ita utakavyoita ila acheni kutaka kuyafahamu hayo hayakuongezei maarifa yoyote.
Kaka ule mchongo wetu vp mzee baba?Namkubaliii piaa ila nasoma na zako mzee uko poaa
Thanks brother. Ninaomba pia mnikosoe pale ninapoteleza kwa maana mimi pia ni binadamu sijakamilika kwa 100%
Makala ya kuchinja watu inadosari gani mkuu utujuze ?Tangu nakuwa tunaambiwa hivi hasa sisi Waswahili "Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni". Katika vitu ambavyo namkubali mdau ni namna ya usimuliaji wake, yaani mambo ya kitafiti anakuwa ana yaandika kama story. Hili nafsi yangu huwa shahidi kwamba anajua sana.
Lakini kitu kingine ambacho anatakiwa akiweke sawa au anaweza kutuambia akiona hili ninalo liandika ni kwamba hizi habari huwa anazipata wapi na je huwa anatumia njia gani kujua aidha habari anazoziweka humu ni za kweli au si za kweli. Mathalani ukisoma makala yake ya "UNIT 15" anasimulia jambo kama yeye ni mtu katika hilo tukio au ameshuhudia hilo tukio au amesimuliwa na muhusika, wakati kiuhalisia si kweli, na makala kama hizi kwa uadilifu anapaswa kutuonyesha wapi amenukuu, kwani kwa watu watafiti na wenye kuhoji mambo, huwa anawaondolea mzuka, yaani ile hamasa na kuwapa gagaiko na huchukulia kama kiburudisho tu. Nini maanisha hapa, haoa alitakiwa awe ana tuambia "Anasimulia fulani katika kitabu chake fulani..... ", hii ingezidi kumjengea uaminifu zaidi na zaidi.
Lakini kadhalika kuna makala yake moja, hii makala alitakiwa kuipitia upya, ni ile makala inayo husu "Hukumu ya kuchinjwa watu kwenye kadamsi" au kama alivyo andika,ile makala ina dosari nyingi sana, kuanzia kwenye kichwa cha makala mpaka yale yaliyomo ndani.
Hakika mkuuIdumu Jf .