Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,892
- 16,476
- Thread starter
-
- #161
Habibu The Bold anajua. Ninatamani sana kuwa kama yeye siku mojaHongera kwake.. kazi nzuri.
Sijui hiyo kazi yake huwa anatafuta hela tu au anamengine maana anafahamu vitu si mchezo..
Jamaa ana passion na kazi yake.
Tumebaki sasa makomamanga ambao huwa hata hatutwajwi si kwenye lolote..😅
Nimeamini kwenye msafara wa mamba na kenge wamo..😂
Kujidharau sana sio jambo jema hakikakila mmoja anabeba dhima ya umuhimu kwa wengineo, usijidharau kiasi hicho hata kwa njia ya utani........
MhhMATAGA: Bila awamu ya 5 Habibu Hanga asingekuwa hapa, tunapenda kutoa shukrani za pekee kwa Rais wa Jamhuri ya Muunngano wa Tanzania
Hakika mkuu. Huwa ninajifunza mengi kwa watu humu JF ikiwa ni pamoja na hawa wawiliJana nilisoma stori yake moja hivi. Ghafla nikatamani kuwa kama yeye. It is too late
The bold na zitto junior sio members wa kawaida
Absolutely bro.Huyo jamaa anajua Sana kupangilia story zake kama movie
Hakika kipaji anacho huyu ndugu yetuYuko vzuri Sana the bold Mungu ampe maisha marefu Ana kipaji kikubwa
Okay sawahabib anga na Humble African walinifanya nifurahi kuifahamu JF.
Sasa hivi amerudi yupo sana kule jukwaa la Jamii IntelligenceHuyu jamaa alipotelea wapi? Alikuwa anaandika makala mpaka watu wanakopi aisee.
Umeandika kwa busara sanaNikiri wazi kabisa,Binafsi ni msomaji mzuri wa makala mbalimbali kutoka majukwaa tofauti.Ila Habibu B. Anga unastahili pongezi kweliiiii.... Libarikiwe tumbo lililokuzaa.
Mkuu infantry kongole kwako pia.
Poantarudi
SawaPoa....chukua.
mhhPamojaaa Mzee nilishawahi kukoment uzi wako mmoja kuwa upo vizuri na unakuja kama Habibu endelea kudondosha uzi
Upo kama mimiNinapenda sana mtu mwenye shukrani na ambaye huangalia mambo kwa positive way
Amen...Naunga mkono hoja,,, hakika huyu jamaa ni mmoja kati ya members walionifanya niipende JF
DuuuhAlaa kwahiyo wewe ni kenge au mamba?
Haujambo lakini?
The Bold hana tabia hizo za utapeliUmewahi kutapeli nini na The Bold?
Kama hajakujibu mpaka sasa basi huyo jamaa anataka tu kuchafua jina la THE BOLDUmewahi kutapeli nini na The Bold?
Jiunge na CCM uwe mjanjaUmefanya kitendo cha uungwana kuona mema ya huyu bwana Habibu B. Anga .
Binafsi namfatilia sana lakini naomba kumbusha kitu katika Unit 15 ile story namba moja ajitahidi asiende mbali sana ili tuweze kuelewa vizuri.
I appreciate him.
sawa mkuu.Jiunge na CCM uwe mjanja