Habili ni nani? Je, anaishi Kawe kweli? Kuingilia mifumo ya ulinzi ya nchi mbona ni hatari kwa Taifa

Mto wa mbu

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2021
Posts
4,507
Reaction score
11,367
Daa Tanzania will never be the same again.

Uko TikTok Kuna jamaa anajiita Habi, huyu mtu ana kiswahili Fulani hivi Cha kimagaribi. Jamaa ana confidence hatari saana lakini pia anaonekana ana buck up si ya kitoto.

Mtu huyu anasema anaishi kawe-Dar es salaam, ametamba kuingilia mifumo ya ulinzi ya jeshi la Tanzania(TPDF),amemwaga data ambazo kimsingi ni 100% correct.

Ameapa jeshi likikanusha kuwa mifumo yake haijaingiliwa atamwaga data zote hadharani.

Mtu huyu anatuma ma barua na ushahidi wa kutisha kwenye tahasisi za kimataifa. Kuingilia National security System ni hatari Kwa usalama wa nchi. Amemwaga data alizodukua TPDF ukisikiliza unaweza tetemeka.

Mtu huyu atakuwa hatari na mwiba mchungu Kwa serikali kuliko kina Mange Kimambi.

Wengine wameanza kumuhusisha kuwa agent wa mojawapo wa strong intelligence Agency, duniani

Aione
CDF
CIC
IGP
 
Mpaka sasa data alizodisclose ni zipi ili nasi tujiridhishe?
 
Habil ni kijana mmoja smart na genius nilimsikiliza mara mbili somewhere ikabid nidanlod tiktok ili nimsikilize vyema, ana madini ana point ana confidence japo kiswahil kinataka kumpiga chenga kisho accent imempotea ila naweza sema ni Ai , barua anazoziandika zinafit kwa kiongozi yeyote. Huyu atawasumbua sana hawa watu
 
AI inaweza kufanya kama mtu real?Siku anaongea na msaadizi wa Murilo alinyosha vizuri sana
 
Habil ni kijana mmoja smart na genius nilimsikiliza mara mbili somewhere ikabid nidanlod tiktok ili nimsikilize vyema, ana madini ana point ana confidence japo kiswahil kinataka kumpiga chenga kisho accent imempotea ila naweza sema ni Ai , barua anazoziandika zinafit kwa kiongozi yeyote. Huyu atawasumbua sana hawa watu
Za kuambiwa changanya na zakwako. TikTok peke yake haitakuvusha.
 
Bila shaka huyo mtu atakuwa ni mzalendo sana kuliko hao vilaza wa kuitwa TPDF ambao mpaka sasa uwepo wao hauna faida yoyote kwenye maisha ya civilians.

Huyo muwest african anahitaji support yetu yawezekana akatufikisha kwenye nchi ya ahadi.
 
Ni mtz nafikir ameishi nje kipindi kirefu adi accent imepotea tho ananyosha kiswahili vizuri, nina ndugu yangu ameenda ulaya akiwa mdogo ukiongea nae kiswahili ni kama uyo jamaa anavyoongea

Back
Top Bottom