Habili ni nani? Je, anaishi Kawe kweli? Kuingilia mifumo ya ulinzi ya nchi mbona ni hatari kwa Taifa

Daa Tanzania will never be the same again.

Uko TikTok Kuna jamaa anajiita Habi, huyu mtu ana kiswahili Fulani hivi Cha kimagaribi. Jamaa ana confidence hatari saana lakini pia anaonekana ana buck up si ya kitoto.

Mtu huyu anasema anaishi kawe-Dar es salaam, ametamba kuingilia mifumo ya ulinzi ya jeshi la Tanzania(TPDF),amemwaga data ambazo kimsingi ni 100% correct.

Ameapa jeshi likikanusha kuwa mifumo yake haijaingiliwa atamwaga data zote hadharani.

Mtu huyu anatuma ma barua na ushahidi wa kutisha kwenye tahasisi za kimataifa. Kuingilia National security System ni hatari Kwa usalama wa nchi. Amemwaga data alizodukua TPDF ukisikiliza unaweza tetemeka.

Mtu huyu atakuwa hatari na mwiba mchungu Kwa serikali kuliko kina Mange Kimambi.

Wengine wameanza kumuhusisha kuwa agent wa mojawapo wa strong intelligence Agency, duniani

Aione
CDF
CIC
IGP
Unaamini hivyo kama vile jeshi letu liko fully automated kwenye mifumo yake.
Majeshi ya kiafrika haya, yamejaa wapasua tofali kwa vichwa na wanatumia radio call kuwasiliana. Wako too mechanical, halafu useme mifumo yao imeingiliwa?
Mifumo gani? Mifumo when? Mifumo which?
Yaani kuna mifumo ya maana ya jeshi la wamasai au jeshi la sungusungu?
 
Lafidhu za kizungu zisiwasumbue, ni wahuni tu wenye lafidhu za kichaga
 
Tunawapenda watu wenye uchungu na taifa hili.
 
Bila shaka huyo mtu atakuwa ni mzalendo sana kuliko hao vilaza wa kuitwa TPDF ambao mpaka sasa uwepo wao hauna faida yoyote kwenye maisha ya civilians.

Huyo muwest african anahitaji support yetu yawezekana akatufikisha kwenye nchi ya ahadi.
Upuuzi..... Huna yofauti na anaeshitaki ICC
 
Daa Tanzania will never be the same again.

Uko TikTok Kuna jamaa anajiita Habi, huyu mtu ana kiswahili Fulani hivi Cha kimagaribi. Jamaa ana confidence hatari saana lakini pia anaonekana ana buck up si ya kitoto.

Mtu huyu anasema anaishi kawe-Dar es salaam, ametamba kuingilia mifumo ya ulinzi ya jeshi la Tanzania(TPDF),amemwaga data ambazo kimsingi ni 100% correct.

Ameapa jeshi likikanusha kuwa mifumo yake haijaingiliwa atamwaga data zote hadharani.

Mtu huyu anatuma ma barua na ushahidi wa kutisha kwenye tahasisi za kimataifa. Kuingilia National security System ni hatari Kwa usalama wa nchi. Amemwaga data alizodukua TPDF ukisikiliza unaweza tetemeka.

Mtu huyu atakuwa hatari na mwiba mchungu Kwa serikali kuliko kina Mange Kimambi.

Wengine wameanza kumuhusisha kuwa agent wa mojawapo wa strong intelligence Agency, duniani

Aione
CDF
CIC
IGP
Swali: Amedukua nini, akapata data gani? Umeona hizo data au umesikia? Unaweza share hapa?

Tunapenda kulishwa na kushare matango pori, mara Mzee Malisa, Habili, yoga, Britannica, tunapenda kusikia pambio sana za kutuliwaza.
 
Daa Tanzania will never be the same again.

Uko TikTok Kuna jamaa anajiita Habi, huyu mtu ana kiswahili Fulani hivi Cha kimagaribi. Jamaa ana confidence hatari saana lakini pia anaonekana ana buck up si ya kitoto.

Mtu huyu anasema anaishi kawe-Dar es salaam, ametamba kuingilia mifumo ya ulinzi ya jeshi la Tanzania(TPDF),amemwaga data ambazo kimsingi ni 100% correct.

Ameapa jeshi likikanusha kuwa mifumo yake haijaingiliwa atamwaga data zote hadharani.

Mtu huyu anatuma ma barua na ushahidi wa kutisha kwenye tahasisi za kimataifa. Kuingilia National security System ni hatari Kwa usalama wa nchi. Amemwaga data alizodukua TPDF ukisikiliza unaweza tetemeka.

Mtu huyu atakuwa hatari na mwiba mchungu Kwa serikali kuliko kina Mange Kimambi.

Wengine wameanza kumuhusisha kuwa agent wa mojawapo wa strong intelligence Agency, duniani

Aione
CDF
CIC
IGP
Kizazi chenye wasomi wengi hiki na mbaya zaidi serikali haikutaka kubadilika inaishi kama tupo zama za nyerere watu wapo ofisini toka nchi inapata uhuru hawana maono mapya ya kukimbizana na teknolojia acha waumbuke tu
 
Jamaa ana confidence hatari saana lakini pia anaonekana ana buck up si ya kitoto.
Backup gani?

ametamba kuingilia mifumo ya ulinzi ya jeshi la Tanzania(TPDF),amemwaga data ambazo kimsingi ni 100% correct.

Ameapa jeshi likikanusha kuwa mifumo yake haijaingiliwa atamwaga data zote hadharani.

Amemwaga data alizodukua TPDF ukisikiliza unaweza tetemeka.

Wengine wameanza kumuhusisha kuwa agent wa mojawapo

Mtu huyu atakuwa hatari na mwiba mchungu Kwa serikali kuliko kina Mange Kimambi.
Huu uzi wako uko kichawa sana, kuna ajenda unasukuma, ni kama unatengeza mtu wa kupoteza upepo wa mange wa kutuma picha/video za maafa ila watu wakasikilize hizi hadithi za kufikirika zisizo na evidence.

Kwa maelezo yako huyo jamaa hana tofauti na wadau hapa ndani kama Yoga, Britannica na wengine, wao wanauza maneno tu kwa watu wanaopenda kuendeshwa na hisia kuliko mantiki na watu wanafuata kama kuku bila kujiuliza maswali.
 
Mtu huyu anatuma ma barua na ushahidi wa kutisha kwenye tahasisi za kimataifa. Kuingilia National security System ni hatari Kwa usalama wa nchi. Amemwaga data alizodukua TPDF ukisikiliza unaweza tetemeka.
Sasa na mimi nikushangae sana wewe.
Hivi waTanzania mmerogwa nammna gani nyinyi?

Kuna "usalama " gani tena wa taifa kama hili wakati huu ambao unakupa mchecheto kiasi hicho wewe?
Au mara hii tena umekwisha geuka kuwa jiwe la chumvi?

Juzi juzi hapa ulikuwa hulali ukijaza mada za kila namna kulaani; halafu leo hii unakuja hapa tena na viswali vya namna hii?

Unataka hiyo mifumo ya usalama imlinde nani Samia kama ilivyo kengeuka sasa? Hilo wewe linakuumiza kitu gani

Kule Illinois hupo tena, umehamia wapi tena siku hizi?

Hivi tuseme wengi wenu humu JF hata hamjui mnacho kipigania; kazi ni kujaza tu mada za kila aina humu bila ya lengo lolote? "Usalama" wa kumlinda Samia na Genge lake ukiingiliwa, wewe unaumizwa vipi?

Leo naona ukumbi mzima umejaa shangwe ya mikeka ya mama! Hii nchi tutakwenda hivi mpaka wapi?
 
Mijusi hio kwenye msafara wa mamba wala isikusumbue... D9 itawakumbusha naona wameanza kusahau km utaratibu wao ulivyo tutawasahaulisha watasahau na wameanza kusahau
 
Unaamini hivyo kama vile jeshi letu liko fully automated kwenye mifumo yake.
Majeshi ya kiafrika haya, yamejaa wapasua tofali kwa vichwa na wanatumia radio call kuwasiliana. Wako too mechanical, halafu useme mifumo yao imeingiliwa?
Mifumo gani? Mifumo when? Mifumo which?
Yaani kuna mifumo ya maana ya jeshi la wamasai au jeshi la sungusungu?
Una pointi mkuu.

Mifumo gani huko, ya mawasiliano ya 'intranet'? Mkuu mmoja akiwasiliana na mwingine au kundi juu ya mipango yao?
Highly unlikely.
 
Kwa maelezo yako huyo jamaa hana tofauti na wadau hapa ndani kama Yoga, Britannica na wengine, wao wanauza maneno tu kwa watu wanaopenda kuendeshwa na hisia kuliko mantiki na watu wanafuata kama kuku bila kujiuliza maswali.
Sio kweeli... kuna asilimia kadhaa mengi wanayosema hua kweli... mimi siku hizi humu wale wanapost vitu km vichaa vichaa hivi au vitu ambavyo havieleweki ndio nawazingatia sana maana hata kichaa kuna wakati hua anaongea ukweli
 
Back
Top Bottom