Habili ni nani? Je, anaishi Kawe kweli? Kuingilia mifumo ya ulinzi ya nchi mbona ni hatari kwa Taifa

Habili ni nani? Je, anaishi Kawe kweli? Kuingilia mifumo ya ulinzi ya nchi mbona ni hatari kwa Taifa

Jamaa kapewa cheo cha rais wa genz tanzania ametoa ahad kua mda mchache atatoa link ya internet ya kutumia internet bure kipind serikal itakapozima mtandao ila analalamika rostam na genge lake wanamfuatilia na kumuhack sana
Kwahiyo alivyowaambia atawapa link ya kutumia Internet bure na nyie nyumbu mkaamini? Kweli nyumbu ni chakula cha mamba.

Kashajua nyie ni manyumbu anatumia unyumbu wenu kutafuta views, hizo taarifa alizodukua kwanza ni zipi? Na zina impact gani au zitawasaidia nini nyumbu katika harakati zenu za kuiba na kuharibu mali za watu zaidi ya kifo?
 
Je hili linasaidia vijana wetu ambao walidai na wanadai haki yako kwa haki au ni mwendelezo wa ku-paint kwamba hawa wadai haki yao ni hatari kwa Usalama wa Taifa ?

Nimekuwa makini sana sasa hivi kuna Poisoned Chalice nyingi sana zinatolewa willy nilly, ukiangalia kwa jicho la tatu huenda (sina uhakika) ni kwa manufaa ya watawala - (wapo tayari kupoteza battle ili washinde vita)
 
Back
Top Bottom