Habili ni nani? Je, anaishi Kawe kweli? Kuingilia mifumo ya ulinzi ya nchi mbona ni hatari kwa Taifa

Amesema mshauri binafsi wa raisi alitumia machine gun kuwalenga vichwa watanganyika 275 video kasema kaipeleka ICC pia uyo mshauri wa raisi ni injinia wa kikosi cha zombie zanzibar, pia alitaka kumuuwa yule alietoka BBC
 
Nenda tik tok
Unakuaje mzito kama wa 47
Kumbuka hatuko mimi na wewe humu wenye uwezo wa kupekenyua taarifa toka vyanzo mvalimbali. Unapoomba kitu ni kwaajili ya kuwasaidia wengine ambao hawana uwezo wa kufika huko. Alafu nikuulize swali, kwanini mtu alete taarifa ambayo haijakamilika? Nini maana "In JF is where We dare to speak openly"?
 
Daa Tanzania will never be the same again.

Uko TikTok Kuna jamaa anajiita Habi, huyu mtu ana kiswahili Fulani hivi Cha kimagaribi. Jamaa ana confidence hatari saana lakini pia anaonekana ana buck up si ya kitoto.

Mtu huyu anasema anaishi kawe-Dar es salaam, ametamba kuingilia mifumo ya ulinzi ya jeshi la Tanzania(TPDF),amemwaga data ambazo kimsingi ni 100% correct.

Ameapa jeshi likikanusha kuwa mifumo yake haijaingiliwa atamwaga data zote hadharani.

Mtu huyu anatuma ma barua na ushahidi wa kutisha kwenye tahasisi za kimataifa. Kuingilia National security System ni hatari Kwa usalama wa nchi. Amemwaga data alizodukua TPDF ukisikiliza unaweza tetemeka.

Mtu huyu atakuwa hatari na mwiba mchungu Kwa serikali kuliko kina Mange Kimambi.

Wengine wameanza kumuhusisha kuwa agent wa mojawapo wa strong intelligence Agency, duniani

Aione
CDF
CIC
IGP
Buck up, tahasisi... ujinga mtupu
 
Alisema kawe
Wakati anaongea na msaidizi wa murilo
Kwa sababu alimuuliza unaishi wapi
Out of no where ndo ikabidi aangalie jina analokumbuka
Ila cha kushangaza abapiga international calls
Lakini inakua kama yupo nchin
Kwa sababu katika hiyo call huyo msaidiz wa murilo asingeuliza uko wapi
 
Kumbuka hatuko mimi na wewe humu wenye uwezo wa kupekenyua taarifa toka vyanzo mvalimbali. Unapoomba kitu ni kwaajili ya kuwasaidia wengine ambao hawana uwezo wa kufika huko. Alafu nikuulize swali, kwanini mtu alete taarifa ambayo haijakamilika? Nini maana "In JF is where We dare to speak openly"?
JF inaruhusu link huku mkuu
 
Vyuo vyote Tanzania inapopeleka wanajeshi kusoma
Na idadi na ni corse zipi
Hiyo niliskia clip moja hivi
Na kuna details nyingi humo kimsingi kwa mtu aliyeko nje ya nfumo kujua ni ngumu
Hadi wanaotarajiwa kupelekwa kwa sasa kasema
Nimemsikiliza tayari tangia jana. Thanks for your concern mamii
 
Kwahiyo alivyowaambia atawapa link ya kutumia Internet bure na nyie nyumbu mkaamini? Kweli nyumbu ni chakula cha mamba.

Kashajua nyie ni manyumbu anatumia unyumbu wenu kutafuta views, hizo taarifa alizodukua kwanza ni zipi? Na zina impact gani au zitawasaidia nini nyumbu katika harakati zenu za kuiba na kuharibu mali za watu zaidi ya kifo?
Acha kupaniki
Hamtaendelea Tena uharamia wenu wa kuua raia watanzania
 
Daa Tanzania will never be the same again.

Uko TikTok Kuna jamaa anajiita Habi, huyu mtu ana kiswahili Fulani hivi Cha kimagaribi. Jamaa ana confidence hatari saana lakini pia anaonekana ana buck up si ya kitoto.

Mtu huyu anasema anaishi kawe-Dar es salaam, ametamba kuingilia mifumo ya ulinzi ya jeshi la Tanzania(TPDF),amemwaga data ambazo kimsingi ni 100% correct.

Ameapa jeshi likikanusha kuwa mifumo yake haijaingiliwa atamwaga data zote hadharani.

Mtu huyu anatuma ma barua na ushahidi wa kutisha kwenye tahasisi za kimataifa. Kuingilia National security System ni hatari Kwa usalama wa nchi. Amemwaga data alizodukua TPDF ukisikiliza unaweza tetemeka.

Mtu huyu atakuwa hatari na mwiba mchungu Kwa serikali kuliko kina Mange Kimambi.

Wengine wameanza kumuhusisha kuwa agent wa mojawapo wa strong intelligence Agency, duniani

Aione
CDF
CIC
IGP
Mkuu ukileta taarifa humu ungekuwa unaweka in a nutshell kitu gani alichozungumza huyo Habili wa kawe ,siyo wote tuna account tiktok.

Je amesema nini? Amedukua taarifa gani?
 
Back
Top Bottom