MlimaSayuni
JF-Expert Member
- Mar 23, 2013
- 7,285
- 13,703
That is how wars are foughtHadi sasa haja toa any evidence wala document yoyote zaidi ya kuongea hearsay tu , ni mwandishi wa ma shairi tu na researcher mzuri
That is how wars are foughtHadi sasa haja toa any evidence wala document yoyote zaidi ya kuongea hearsay tu , ni mwandishi wa ma shairi tu na researcher mzuri
Babaako alichagua tu kazi mbaya ya kusaka nyoka,angechagua siasa kama makamba leo usingekua unawachukia wenye nachoUkute wewe ndo Abduli mwenyewe.
With empty wordsThat is how wars are fought
Kwa hatua ambayo nyie mashetani mkiongozwa na lile zimwi la kizanzibar mmetufikisha, mtu yeyote anayeonesha nia ya kuiangusha hii serikali nina msapoti kwa 100%.Upuuzi..... Huna yofauti na anaeshitaki ICC
Mbona kama unaumia sana we uvccm.Hadi sasa haja toa any evidence wala document yoyote zaidi ya kuongea hearsay tu , ni mwandishi wa ma shairi tu na researcher mzuri
Shukrani, nitajiunga nione duniaKwakua umechagua kutokuwa na tiktok bila shaka umri wako umesogea kiasi.
Tiktok ni mtandao uliofurika Generation Z. Under ideal condition wanakuwaga na utoto mwingi huko, ila wakiamua jambo lao wanaweza kuhamisha mlima. Ukifuatilia serikali nyingi zilizoangushwa hivi karibuni utaambiwa vuguvugu limeanzia Tiktok.
Kifupi lile taifa la kesho tuliloambiwa, lote liko tiktok. Unaweza kujiunga nao ukitaka. Hutokuwa na haja ya kuomba link😊
Ni vizuri kuwaza nje ya box, serikali ina mbinu nyingi.Nawaza tu:
What if huyu naye ni kiini macho na pandikizi la wanamtandao ili kuwaonyesha watanzania kwamba watu wanaotaka kulivuruga taifa wanatoka nje ya nchi au wanaagizwa na kulipwa na mabepari?
Cc:
Vishu Mtata , ERoni ephen_
Niendelee kuwaza au niache ujinga?
Kwa sasa Tumestaafu mpira na mapenziSiku hizi nimetekwa na siasa 😂😂 min sijamuona jamani mpaka naogopa.
Hivi wewe kichwa chako na kiwiliwili chako huwa vinasomanaKama hili litakusaidia kupata choo basi heri..
Unatokea pori gani ?Kwahiyo wewe hapo ndo unategemewa UVCCM ?Daaah unasikitisha sana
Mimi mpaka nimewaza usijekuta kawa trained na vile vikundi kama Alqaeda au ISIS.Ile lafudhi na mambo anayoongea huwezi kuamini. Lijamaa ni kichwa na linajua intelligence na IT kuliko majamaa yetu mengi
Day dreaming....long range point to point radio links
Tuombee Taifa liepuke umwagaji mwingine wa damu.Mimi mpaka nimewaza usijekuta kawa trained na vile vikundi kama Alqaeda au ISIS.
Na anavyoongea kwa kumtaja mwenyezi Mungu kila saa na kujiapisha kwamba damu iliyomwagika lazima ilipwe kwa njia yeyote, duu nimeogopa.
Ngoja tusubiri tuone mwisho wake
Hii nchi ina ujinga mwingi sana, halafu ukiwambia ukweli unaonekana msaliti mara unatetea ccmSwali: Amedukua nini, akapata data gani? Umeona hizo data au umesikia? Unaweza share hapa?
Tunapenda kulishwa na kushare matango pori, mara Mzee Malisa, Habili, yoga, Britannica, tunapenda kusikia pambio sana za kutuliwaza.