Habili ni nani? Je, anaishi Kawe kweli? Kuingilia mifumo ya ulinzi ya nchi mbona ni hatari kwa Taifa

Habili ni nani? Je, anaishi Kawe kweli? Kuingilia mifumo ya ulinzi ya nchi mbona ni hatari kwa Taifa

Hii nchi ina ujinga mwingi sana, halafu ukiwambia ukweli unaonekana msaliti mara unatetea ccm
Yaani wanataka kusikia chochote cha kuliwaza hata kama ni uongo wa wazi
Poyeee weyeee inaonekana unaumia sana vijana waliwashika korodani, sie tunasema acha waendelee kuwabinya izo ppumbu zenu wauwaji ninyi wakubwa. Gen z are the future
 
Ukipata wasaa kasome ktu inaitwa LONG RANGE POINT TO POINT RADIO WAVE Inavyofanya kazi haswa kwenye internet bypass
Very sad
Ndoto za mchana
Hivi unajua maana ya Goverment Total Internet Shutdown....
Hizo long range zitasafirisha nini? upupu?
 
Kama mleta mada ameattach mafile yalikua disclosed basi naombeni na mm niyaone
 

View: https://youtu.be/SMlu1YKtuYk?si=Vz9yRMThuzg0Dd5w

Huyu mtu anaongea sana na mara nyingi anatumia wingi (watuambie, tutatoa, watubishie, tutatuma n.k)kwenye sentensi zake, inaonekana sio mmoja ni KIKUNDI.

Huu nafikiri ni mpango wa watawala, wanatengeneza mtu watakayemuita kiongozi wa Gen Z. Maandamano yasio na kiongozi huwa ni vigumu sana kuyatuliza.

Time will tell.
 
Back
Top Bottom