Habili ni nani? Je, anaishi Kawe kweli? Kuingilia mifumo ya ulinzi ya nchi mbona ni hatari kwa Taifa

Habili ni nani? Je, anaishi Kawe kweli? Kuingilia mifumo ya ulinzi ya nchi mbona ni hatari kwa Taifa

Daa Tanzania will never be the same again.

Uko TikTok Kuna jamaa anajiita Habi, huyu mtu ana kiswahili Fulani hivi Cha kimagaribi. Jamaa ana confidence hatari saana lakini pia anaonekana ana buck up si ya kitoto.

Mtu huyu anasema anaishi kawe-Dar es salaam, ametamba kuingilia mifumo ya ulinzi ya jeshi la Tanzania(TPDF),amemwaga data ambazo kimsingi ni 100% correct.

Ameapa jeshi likikanusha kuwa mifumo yake haijaingiliwa atamwaga data zote hadharani.

Mtu huyu anatuma ma barua na ushahidi wa kutisha kwenye tahasisi za kimataifa. Kuingilia National security System ni hatari Kwa usalama wa nchi. Amemwaga data alizodukua TPDF ukisikiliza unaweza tetemeka.

Mtu huyu atakuwa hatari na mwiba mchungu Kwa serikali kuliko kina Mange Kimambi.

Wengine wameanza kumuhusisha kuwa agent wa mojawapo wa strong intelligence Agency, duniani

Aione
CDF
CIC
IGP
Wewe unarudia tu hao wote anawasiliana nao kwa simu na e-mail wewe unabwabwaja bure tu
 
Na mfumo umepasuka haswa ,jana niliingia kwenye group moja linaloongozwa na Gen -Z wajinga wako smart hadi nimeogopa ,jamaa group lao wamelitengeneza kijasusi sana, ni jukwaa la WhatsApp lakini wakishakuapprove tu taarifa zako zote kuanzia No , profile picture na taarifa zingine zote zinafichwa na ujumbe wowote utakaoutuma nilazima uwe filtered tena kwa speed ya jet .

Jamaa wanaonekana wapodeep sana kwenye technology.
Eeeee
Kuna gen z wa hivyo??
Basi wasiipuuze hawa watoto jamani
 
Daa Tanzania will never be the same again.

Uko TikTok Kuna jamaa anajiita Habi, huyu mtu ana kiswahili Fulani hivi Cha kimagaribi. Jamaa ana confidence hatari saana lakini pia anaonekana ana buck up si ya kitoto.

Mtu huyu anasema anaishi kawe-Dar es salaam, ametamba kuingilia mifumo ya ulinzi ya jeshi la Tanzania(TPDF),amemwaga data ambazo kimsingi ni 100% correct.

Ameapa jeshi likikanusha kuwa mifumo yake haijaingiliwa atamwaga data zote hadharani.

Mtu huyu anatuma ma barua na ushahidi wa kutisha kwenye tahasisi za kimataifa. Kuingilia National security System ni hatari Kwa usalama wa nchi. Amemwaga data alizodukua TPDF ukisikiliza unaweza tetemeka.

Mtu huyu atakuwa hatari na mwiba mchungu Kwa serikali kuliko kina Mange Kimambi.

Wengine wameanza kumuhusisha kuwa agent wa mojawapo wa strong intelligence Agency, duniani

Aione
CDF
CIC
IGP
Nje na tofauti zetu za ndani si Jambo la kulifrahia hata kidogo ni Jambo la hatari Sana linalo paswa kufanyiwa kazi haraka sana
 
Kuna Jamaa anaitwa Summercriff002..Mtafute um follow au mtaalam mwenyewe Habil and Kabil.
mtandao:Tik tok
Muda hasa:Saa 3 na kuendelea.

N.B Usikose uone nondo zake huku akimtaka Samuya ajiuzulu kwa raha zake au asubiri aonyeshwe nguvu ya umma.
Ananikosha anavyosema kwa raha zake
Haahha
 

View: https://youtu.be/SMlu1YKtuYk?si=Vz9yRMThuzg0Dd5w

Huyu mtu anaongea sana na mara nyingi anatumia wingi (watuambie, tutatoa, watubishie, tutatuma n.k)kwenye sentensi zake, inaonekana sio mmoja ni KIKUNDI.

Huu nafikiri ni mpango wa watawala, wanatengeneza mtu watakayemuita kiongozi wa Gen Z. Maandamano yasio na kiongozi huwa ni vigumu sana kuyatuliza.

Time will tell.

Hivi twende mbele, turudi nyuma
Hili jeshi letu la kuvunja matofali lina mitambo gani ya kuingiliwa?
Au ni mitambo ya kuponda kokoto?
Hili jeshi ambalo lenyewe kambi moja haisomani na kambi nyingine?
Hebu tuache utani na utoto......
 
Poyeee weyeee inaonekana unaumia sana vijana waliwashika korodani, sie tunasema acha waendelee kuwabinya izo ppumbu zenu wauwaji ninyi wakubwa. Gen z are the future
Akili ndogo huwezi kunielewa
Na hata sijui umeandika upupu gani huu?
 
Hivi twende mbele, turudi nyuma
Hili jeshi letu la kuvunja matofali lina mitambo gani ya kuingiliwa?
Au ni mitambo kuponda kokoto?
Hili jeshi ambalo lenyewe kambi moja haisomani na kambi nyingine?
Hebu tuache utani na utoto......
Usilichukulie poa JWTZ ukafananisha na King Africa Rifle (KAR) baadae Tanganyika Rifle.
 
Baada TESHA Sasa Habil 😀😀😀😀 Ila Tanzania ng’ombe ni wengi kuliko watu
Akili za Ng'ombe ni zile zinazofurahia wengine kuuwawa wakidhani wao wako salama wakati mabucha Bado yako wazi

Akili za king'ombe ni watu wanaodharau juhudi za wazalendo wao wakiwa zizini wakisubiri kukamuliwa na mfugaji
 
Swali: Amedukua nini, akapata data gani? Umeona hizo data au umesikia? Unaweza share hapa?

Tunapenda kulishwa na kushare matango pori, mara Mzee Malisa, Habili, yoga, Britannica, tunapenda kusikia pambio sana za kutuliwaza.
 
Back
Top Bottom