Kumbe hata starlink upo chini ya control ya TCRA? Mkuu naona wewe unachofikiria watu wote wanatumia mitandao ya makampuni ya simu tuuDay dreaming....
Unaongelea WiFI signal transportation kwenye normal condition ya kuwa mtandao haujazimwa
Ukizimwa utasafirisha nini ?
Stori za vijiweni, na jamaa anaenda na upepo na kuuza maneno. I'm skeptical.Wakuu habari za mda huu.
Kuna kijana mmoja huko TikTok anaitwa Habil & Kabil ukifuatilia video zake na tuhuma anazo toa juu ya Haji Kheir ni nzito sana na za kuogepesha mno.
Pia soma: Haji Omar Kheir - Mshauri wa Rais Ikulu, ana uhusika na mauaji Uchaguzi 2025?
- Mtu Alie Nyikani
- vifo maandamano tanzania
- Replies: 80
- Forum: Jukwaa la Siasa
Asante mkuu
Usilichukulie poa JWTZ ukafananisha na King Africa Rifle (KAR) baadae Tanganyika Rifle.
Ila mimi nishawai kuitumia hiyo link ni bure kabisa na kuja jamaa yangu alikua nayo yake yeye ilikua kila siku anapewa mb 80 bure kila siku ila ile nyingine ilikua non stop uwe na line ya voda haya mambo yapo mzee watoto watundu sanaaa
Usiongelee njozi za mchana....Kumbe hata starlink upo chini ya control ya TCRA? Mkuu naona wewe unachofikiria watu wote wanatumia mitandao ya makampuni ya simu tuu
Kwahiyo unataka kusema hiyo starlink niki share kwenye wireless device Bado itaendelea kutumiwa na mtu moja? Na pia hizo satellite phone internet yake haiwezi kuwa shared na Kila center za maandamano kukawa na device kama hizo inawezakana au haiwezekani?Usiongelee njozi za mchana....
Kuna simu za satellite zipo na zinatumika bongo, je wangapi wana uwezo huo...
Hata kama starlink ikiletwa na mtu kimagumashi, inaweza kuifanya kazi kwa matumizi ya huyo mtu,
Swali itakusaidia nini wewe unaishi Vingunguti au Ngarenaro au Nyamagana..
Kwamba mnajilisha upupu kijiweni kuwa utakuta tayari kwenye simu yako inakusubiri ujiunge?
Hili ndilo jambo la muhimu sanaTuombee Taifa liepuke umwagaji mwingine wa damu.
Daa Tanzania will never be the same again.
Uko TikTok Kuna jamaa anajiita Habi, huyu mtu ana kiswahili Fulani hivi Cha kimagaribi. Jamaa ana confidence hatari saana lakini pia anaonekana ana buck up si ya kitoto.
Mtu huyu anasema anaishi kawe-Dar es salaam, ametamba kuingilia mifumo ya ulinzi ya jeshi la Tanzania(TPDF),amemwaga data ambazo kimsingi ni 100% correct.
Ameapa jeshi likikanusha kuwa mifumo yake haijaingiliwa atamwaga data zote hadharani.
Mtu huyu anatuma ma barua na ushahidi wa kutisha kwenye tahasisi za kimataifa. Kuingilia National security System ni hatari Kwa usalama wa nchi. Amemwaga data alizodukua TPDF ukisikiliza unaweza tetemeka.
Mtu huyu atakuwa hatari na mwiba mchungu Kwa serikali kuliko kina Mange Kimambi.
Wengine wameanza kumuhusisha kuwa agent wa mojawapo wa strong intelligence Agency, duniani
Aione
CDF
CIC
IGP
Mpaka sasa sijamuona da mange akimshobokea....Watu wakujidai charismatic charismatic watawaingiza vichakani.
Mi naona uende mwenyewe tu Tiktok ukamsikilize huyu jamaa. Just search summercliff itakuletea videos na audios zake. Huu ushahidi uliopatikana jana sasa ndio funga kazi aisee.Na mie jana niliuza hili swali ? Ukijibiwa naomba uni tag kamanda
Jamani asiaminiwe hivyo kirahisi mpaka kupewa uwakilishi. Atakuja kudisappoint watu huyu! Mtu hata hajulikani katokea wapi! Anawakeep busy kweli watu, I see lots of disappointments here.Ukiingia tiktok search elimu ya maandamano, utamsikia anatoa nondo, Infact ndio Rais wa Gen z
Gen Z kuweni very, very careful. Hivi ni vita dhidi ya adui ambaye ana tools nyingi mkononi. Epukeni ku-click links mnazoletewa na watu mnaowajua kwa juu juu mtandaoni. True identities zenu zitakusanywa halafu mtakuwa mnadakwa kama kuku wa shamba.Jamaa kapewa cheo cha rais wa genz tanzania ametoa ahad kua mda mchache atatoa link ya internet ya kutumia internet bure kipind serikal itakapozima mtandao ila analalamika rostam na genge lake wanamfuatilia na kumuhack sana
Kumbe yote hayo unayajua kinachokufanya uyalete hapa ni ya Nini au tujue unaelimu ya kwenye maeneo hayo? Acha aliamshe wewe uchuneMpaka sasa sijamuona da mange akimshobokea....
Kwanza anaona ni mshindani wake na adui wa masilahi yake...
Da Mange sio mwehu wala mjinga, ni mjanja mwenye akili kubwa, na anqjua anachofanya......
Although, kufanya watu watoke na kuliamsha, inaruhusiwa 'By Any Means Necessary' maana sio kazi ndogo.
Kwahiyo hata Habili anajichukulia point kuamsha hata wenye uoga watoke hata kama malengo yake ni ya kiuchumi na taarifa anazotoa ni upupu mtupu kuuamini....
Usieleweke wewe nani, plato, socrates ama Aristotle? Wewe maandishi yako kama ya mtoto wa kidato cha sita hayana maajabu yoyoteAkili ndogo huwezi kunielewa
Na hata sijui umeandika upupu gani huu?
Mkuu kwanza tusirudi nyuma, tuendelee mbele.Hivi twende mbele, turudi nyuma
Hili jeshi letu la kuvunja matofali lina mitambo gani ya kuingiliwa?
Au ni mitambo ya kuponda kokoto?
Hili jeshi ambalo lenyewe kambi moja haisomani na kambi nyingine?
Hebu tuache utani na utoto......