Habili ni nani? Je, anaishi Kawe kweli? Kuingilia mifumo ya ulinzi ya nchi mbona ni hatari kwa Taifa

Habili ni nani? Je, anaishi Kawe kweli? Kuingilia mifumo ya ulinzi ya nchi mbona ni hatari kwa Taifa

Jamaa kapewa cheo cha rais wa genz tanzania ametoa ahad kua mda mchache atatoa link ya internet ya kutumia internet bure kipind serikal itakapozima mtandao ila analalamika rostam na genge lake wanamfuatilia na kumuhack sana
 
Halafu kuna wabongo wengi sana wataamini hiki...
 
Hakuna kitu kama hiko na haitakaa itokee
Wala haihitaji kusubiri kusema atatoa internet ya bure ni kichekesho, inaonekana amewashajua wabongo kwa viwango vyao vya akili....
Ila mimi nishawai kuitumia hiyo link ni bure kabisa na kuja jamaa yangu alikua nayo yake yeye ilikua kila siku anapewa mb 80 bure kila siku ila ile nyingine ilikua non stop uwe na line ya voda haya mambo yapo mzee watoto watundu sanaaa
 
Gen Z is a very unique generation.Kizazi kilichozaliwa ndani ya teknolojia.Tatizo mnawadharau sana mnasema wanahamasishwa endeleeni kujipa moyo.Wenye hekima zao wameishauri serikali lakini bado mnashupaza shingo.Video za ushahidi wa mauaji zinatumwa online mnasema ni AI mnashindwa kujua kwamba teknolojia iliyopo sasa inauwezo kuverify AI Pictures.Ni aibu kwa Taifa. Vita hii ni ya wananchi wenyewe.Gen Z sasa hivi wana network kubwa na wamejenga ushirikiano na international orgarnization kama ICC na wanafanya kazi na office of united nation high commission for human rights na mashirika mengine mengi.Mauaji yaliyotokea hayawezi kufunikwa tena. Mungu ibariki Tanzania
 
Ila mimi nishawai kuitumia hiyo link ni bure kabisa na kuja jamaa yangu alikua nayo yake yeye ilikua kila siku anapewa mb 80 bure kila siku ila ile nyingine ilikua non stop uwe na line ya voda haya mambo yapo mzee watoto watundu sanaaa
Ni kweli yapo na yanawezekana kama mtandao utakuwa haujazimwa
Lakini kama umezimwa, hio linki itafanyaje kazi?
 
Back
Top Bottom