Msolo
JF-Expert Member
- Oct 19, 2008
- 3,832
- 5,309
Leo ndio Jumanne, hayo masaa 48 aliyowapa BOT, system zilikuwa down au zinaRun?Kaingilia mfumo wa BOT siku ya jumamosi kawapa BOT masaa 48 waseme kwamba wameingiliwa ..failure to that kuanzia leo hii J4 ana block transactions zote za pesa Tanzania kwa siku 3 anadai!